Miezi saba, taasisi gani?Serikali juzi imenunua ma V8 mapyaa Kwa mabunyenye, lakini Ss huku , tuna subiria replacement huu mwezi wa 7 ss, majibu ya ora yanakaa zaidi ya mwezi .
Daa my country. Inaenda shimoni 😭
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakuu naona huko Web kumejaa Mikando ya mwenzi huu mwshoni BADALA ya placement[emoji16][emoji16]
Husiwaze we endelea kujinoa tu mkuuSafari hii nikivuka written niende practical, sijawah kufanya practical hata siku moja....hapa nawaza
Wametoa nfs za kazi?Naona TAKUKURU wanajambo lao tena na mwaka huu kwa jobless Angalieni ….
Wametoa changamkia fursaWametoa nfs za kazi?
Poa poaWametoa changamkia fursa
Umri nao muhimu!Wenye sifa
Hapo ndo kipengereUmri nao muhimu!
NdioWametoa nfs za kazi?
Nimeziona sema duh umri kipengeleNdio
Website gani,mbona me sioniNimeziona sema duh umri kipengele
TakukuruWebsite gani,mbona me sioni
Nmeingia sion,sorry mkuu can u screenshotTakukuru
Hapo ichekiWenye sifa