Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Miezi saba, taasisi gani?Serikali juzi imenunua ma V8 mapyaa Kwa mabunyenye, lakini Ss huku , tuna subiria replacement huu mwezi wa 7 ss, majibu ya ora yanakaa zaidi ya mwezi .
Daa my country. Inaenda shimoni 😭