Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye group letu kujadili hapana, ili ikitokea kazi zinazohusu sheria wanatuma, kama kuna call for interview na kuna majina ya baadhi ya members PDF inatumwa, kama kuna placement PDF inatumwa na pongezi juu ake, utani kidogo hivyo yan
Ahaa hapo sasa muongozo umeeleweka
 
Serikali juzi imenunua ma V8 mapyaa Kwa mabunyenye, lakini Ss huku , tuna subiria replacement huu mwezi wa 7 ss, majibu ya ora yanakaa zaidi ya mwezi .
Daa my country. Inaenda shimoni [emoji24]
Tukisemaga mrija wa Asali ndio namna hiyo ndugu yangu.

Tena tushapewa muongozo wa kula kwa urefu wa kamba zetu, hapo ndipo watu wanaogelea sana
 
Ety wakuu, hizi saili zinazokuwa na Oral tupu yaan hizi mnakuwa mmeitwa wachache mfano post 3 watu 7 Huwa zinakuwa na maswali mengi kwenye Oral.. au idadi ya maswali ni Ileile 5..?
Mwifwa
mazaga one
Kama kawaida.Kikubwa ni kuwa nondo tu.Interview wanaangalia mengi sana.Sio uwezo wa kujibu maswali,hata mwonekano kuanzia u smart wako nkk...Kuna jamaa yangu anasema aliingia oral vitu na tension Ile vikapotea kama kwenye maswali mawili alikuwa amepoteana kabisa.Ila Mungu si athumani alipata kazi.Kikubwa Dua na Sala.Mungu akisema ndio Wakati wako basi itakuwa imefika either kimajaabu au kivyovyoye.
 
Amm Ameen
 
Kwa Mara nyingine Naenda Kuongeza SELECTED FOR Aral kama kawaida
 
naomba kuuliza utafaham vipi kama ulipita oral ? au utafaham vipi kama uliwekwa kwenye database
Hayo wanajua PSRS,ila Kikubwa ukipita mwaka hujaona jina popote,ujue Nafasi ni chache na waliopatikana ndio waliopatikana.Kikubwa ni kuomba Mungu kukutana nao Oral.Maana Kule wanaangalia vingi sana...Kama yako itakuwa yako tu,kama sio yako basi next time...
Waliopata kazi humu wanajua.....Ni bahati tu,Mungu akikupangia....Ila make sure Unaenda Oral...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…