yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Bas nshaiona kwa web yao,thank uDoc ipo hapo juu kweny chati ya mec kaituma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bas nshaiona kwa web yao,thank uDoc ipo hapo juu kweny chati ya mec kaituma
Poa poaBas nshaiona kwa web yao,thank u
Hahaha sio lazima wote tuwe wakulima broWe jamaa njoo shamba tulime na kufuga usipoteze muda
mku ulifanya usaili wenye practical ? au written tuMkuu haijabadilika hata mm iko vilevile kwahiyo tusiogope, na sio ss tu wengi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha sio lazima wote tuwe wakulima bro
Ahaa hapo sasa muongozo umeelewekaKwenye group letu kujadili hapana, ili ikitokea kazi zinazohusu sheria wanatuma, kama kuna call for interview na kuna majina ya baadhi ya members PDF inatumwa, kama kuna placement PDF inatumwa na pongezi juu ake, utani kidogo hivyo yan
Tukisemaga mrija wa Asali ndio namna hiyo ndugu yangu.Serikali juzi imenunua ma V8 mapyaa Kwa mabunyenye, lakini Ss huku , tuna subiria replacement huu mwezi wa 7 ss, majibu ya ora yanakaa zaidi ya mwezi .
Daa my country. Inaenda shimoni [emoji24]
Kama kawaida.Kikubwa ni kuwa nondo tu.Interview wanaangalia mengi sana.Sio uwezo wa kujibu maswali,hata mwonekano kuanzia u smart wako nkk...Kuna jamaa yangu anasema aliingia oral vitu na tension Ile vikapotea kama kwenye maswali mawili alikuwa amepoteana kabisa.Ila Mungu si athumani alipata kazi.Kikubwa Dua na Sala.Mungu akisema ndio Wakati wako basi itakuwa imefika either kimajaabu au kivyovyoye.Ety wakuu, hizi saili zinazokuwa na Oral tupu yaan hizi mnakuwa mmeitwa wachache mfano post 3 watu 7 Huwa zinakuwa na maswali mengi kwenye Oral.. au idadi ya maswali ni Ileile 5..?
Mwifwa
mazaga one
AmeenKama kawaida.Kikubwa ni kuwa nondo tu.Interview wanaangalia mengi sana.Sio uwezo wa kujibu maswali,hata mwonekano kuanzia u smart wako nkk...Kuna jamaa yangu anasema aliingia oral vitu na tension Ile vikapotea kama kwenye maswali mawili alikuwa amepoteana kabisa.Ila Mungu si athumani alipata kazi.Kikubwa Dua na Sala.Mungu akisema ndio Wakati wako basi itakuwa imefika either kimajaabu au kivyovyoye.
Kwa Mara nyingine Naenda Kuongeza SELECTED FOR Aral kama kawaidaKama kawaida.Kikubwa ni kuwa nondo tu.Interview wanaangalia mengi sana.Sio uwezo wa kujibu maswali,hata mwonekano kuanzia u smart wako nkk...Kuna jamaa yangu anasema aliingia oral vitu na tension Ile vikapotea kama kwenye maswali mawili alikuwa amepoteana kabisa.Ila Mungu si athumani alipata kazi.Kikubwa Dua na Sala.Mungu akisema ndio Wakati wako basi itakuwa imefika either kimajaabu au kivyovyoye.
Hayo wanajua PSRS,ila Kikubwa ukipita mwaka hujaona jina popote,ujue Nafasi ni chache na waliopatikana ndio waliopatikana.Kikubwa ni kuomba Mungu kukutana nao Oral.Maana Kule wanaangalia vingi sana...Kama yako itakuwa yako tu,kama sio yako basi next time...naomba kuuliza utafaham vipi kama ulipita oral ? au utafaham vipi kama uliwekwa kwenye database
Una interview hii January....Kwa Mara nyingine Naenda Kuongeza SELECTED FOR Aral kama kawaida
YaaapUna interview hii January....
Jitahidi mwanangu kusoma,na uwe smart sana,omba MunguYaaap
Kweli but ni Oral only not WrittenJitahidi mwanangu kusoma,na uwe smart sana,omba Mungu
hongera. vipi status ya interview ambayo ulifanya awaliKwa Mara nyingine Naenda Kuongeza SELECTED FOR Aral kama kawaida
Kila la kheri mkuu, ukafanikiwe kupata kazi hii.Kweli but ni Oral only not Written
Ile ile tu, na kama ni nafsi ya kitaaluma (yani ni kufundisha) jiandae kuandaa mada ya kupresentEty wakuu, hizi saili zinazokuwa na Oral tupu yaan hizi mnakuwa mmeitwa wachache mfano post 3 watu 7 Huwa zinakuwa na maswali mengi kwenye Oral.. au idadi ya maswali ni Ileile 5..?
Mwifwa
mazaga one