Watazirudisha hizo.. maana wanapendaga kutest mitambo kimtindo πKuna na UDSM na DUCE pia
Mungu akutangulieSafari hii nikivuka written niende practical, sijawah kufanya practical hata siku moja....hapa nawaza
Taaluma gani hii mnaitwa 7 tu?!!!!Kwa Mara nyingine Naenda Kuongeza SELECTED FOR Aral kama kawaida
Hilo sijui mkuu, na sijawahi kufanya oral pekee.Ety wakuu, hizi saili zinazokuwa na Oral tupu yaan hizi mnakuwa mmeitwa wachache mfano post 3 watu 7 Huwa zinakuwa na maswali mengi kwenye Oral.. au idadi ya maswali ni Ileile 5..?
Mwifwa
mazaga one
Kabla placement ya Database kutoka, huwezi kufahamu kama ulifaulu Oral, wanayejua ni wakandaji tu.naomba kuuliza utafaham vipi kama ulipita oral ? au utafaham vipi kama uliwekwa kwenye database
placement ya database huwa inatoka baada ya muda gani?Kabla placement ya Database kutoka, huwezi kufahamu kama ulifaulu Oral, wanayejua ni wakandaji tu.
Ila utajua ulifaulu siku placement ya database ikitoka na jina lako likionekana
Kwa upande wangu mm navyoona kama umeomba na unavigezo mpk mfumo ukakuruhusu na wao wakaruhusu ufanye usaili wa kuandika mpk oral kwa hiyo KOZI basi mnakuwa mna equal chance of being selected.THE REST IS KAMA ULIVYOMALIZIA SENTENSI ZA MWISHO.Wataalam Ebu nijuzeni kidogo mnapofika kwenye Oral Je kuna Priority Yoyote kwa wasahiliwa ambao wanakuwa wapo kwny Field zao.
Mfano. Unakuta Umesomea taxation na Uliomba TMO(Tax Management Officer II) na ukabahatika kufika ORAL Je kuna faida yoyote kwenye Oral hiyo
Km maneno ya Weng wanavyosema kuwa kwny ORAL INTERVIEW hawaangalii ujibu wa maswal pekee yake kuna vitu Wana consider ss ndy nataka aejua au kuelewa miongon mwa hvyo vitu Field yako ikiendana na Post kuna unafuu?
au Tuendelee na formula yetu 50% Knowledge 30% Bahati 20% Uwezo
Hapo nikiangalia umri unaweza jikuta unakosa sifa za kufanya kazi na hujawahi hata kufanya kazi rasmi.Wenye sifa
Wataalam Ebu nijuzeni kidogo mnapofika kwenye Oral Je kuna Priority Yoyote kwa wasahiliwa ambao wanakuwa wapo kwny Field zao.
Mfano. Unakuta Umesomea taxation na Uliomba TMO(Tax Management Officer II) na ukabahatika kufika ORAL Je kuna faida yoyote kwenye Oral hiyo
Km maneno ya Weng wanavyosema kuwa kwny ORAL INTERVIEW hawaangalii ujibu wa maswal pekee yake kuna vitu Wana consider ss ndy nataka aejua au kuelewa miongon mwa hvyo vitu Field yako ikiendana na Post kuna unafuu?
au Tuendelee na formula yetu 50% Knowledge 30% Bahati 20% Uwezo
Ujue kuna muda kuwa shortlisted ni hali ya kawaida Siku 1 wasimamizi nilishaona wanamshangaa mwana kawa Je Shortlisted wkt vtu haviendani ?!Kwa upande wangu mm navyoona kama umeomba na unavigezo mpk mfumo ukakuruhusu na wao wakaruhusu ufanye usaili wa kuandika mpk oral kwa hiyo KOZI basi mnakuwa mna equal chance of being selected.THE REST IS KAMA ULIVYOMALIZIA SENTENSI ZA MWISHO.
Kuna Ile kauli yaHadi umeitwa kwenye usaili maana yake una vigezo vinavyohitajika katika hyo post.
Najua wote Wana vigezo lkn kuna Priority mfano mtu mwny CPA kwny kaz za Uhasibu kuna Advantage flan anapata Kwa Sababu ya kuwa CPA holderHadi umeitwa kwenye usaili maana yake una vigezo vinavyohitajika katika hyo post.
Kazi za uhasibu psrs zinazohitaji CPA, haziruhusu mtu asiye na CPA kuomba, system inakataa.Kuna Ile kauli ya
Najua wote Wana vigezo lkn kuna Priority mfano mtu mwny CPA kwny kaz za Uhasibu kuna Advantage flan anapata Kwa Sababu ya kuwa CPA holder
Kumbe sema Mie siku zote nimejikita sn kuomba Kazi Moja (najitahid kuifata ndoto yng ilipo)Kazi za uhasibu psrs zinazohitaji CPA, haziruhusu mtu asiye na CPA kuomba, system inakataa.
Kuomba kazi moja unamaanisha nini? Ina maana wewe husomi hata matangazo ya kazi na sifa zinazotakiwa kwa post husika?!Kumbe sema Mie siku zote nimejikita sn kuomba Kazi Moja (najitahid kuifata ndoto yng ilipo)
Hii inaweza isiwe kweli, maana cpa mshahara lazma upande sanaKuna Ile kauli ya
Najua wote Wana vigezo lkn kuna Priority mfano mtu mwny CPA kwny kaz za Uhasibu kuna Advantage flan anapata Kwa Sababu ya kuwa CPA holder
Sifa na vigezo naweza kuwa navyo lkn nilishajiwekea utaratibu kwanza Tangazo nalozingatia ni Moja tu. Mpk Kwa muda Flan baada ya Hapo ndy nitaanza kujichanganya kote kote?Kuomba kazi moja unamaanisha nini? Ina maana wewe husomi hata matangazo ya kazi na sifa zinazotakiwa kwa post husika?!
Hii inaweza isiwe kweli, maana cpa mshahara lazma upande sana
Hii hai-apply kwa kupitia psrs, kwa mfano, nafasi nyingi za kazi za uhasibu zina beba watu waliosoma uhasibu, banking and finance, Bcom(Accounting & Financa) Baf.Tuchukulie mfano we unapenda kuwa Muhasibu ss kwa Wenge lako la kukosa kaz kila unapojarbu ukajikuta umeanza kuapply hovyo hovyo ss hiyo apply yako ikakupeleka Afisa ustawi wa Jamii na kaz ukapata.
Yeah inawezekana kutokea ila tu kama uliforce system. Lakini kama kozi ni relevant na walitaja other relevant degree na ukaitwa na ukafanya usaili jua mna equal chance ya kuchaguliwa nyote.Ujue kuna muda kuwa shortlisted ni hali ya kawaida Siku 1 wasimamizi nilishaona wanamshangaa mwana kawa Je Shortlisted wkt vtu haviendani ?!