Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

naomba kuuliza utafaham vipi kama ulipita oral ? au utafaham vipi kama uliwekwa kwenye database
Kabla placement ya Database kutoka, huwezi kufahamu kama ulifaulu Oral, wanayejua ni wakandaji tu.

Ila utajua ulifaulu siku placement ya database ikitoka na jina lako likionekana
 
Wataalam Ebu nijuzeni kidogo mnapofika kwenye Oral Je kuna Priority Yoyote kwa wasahiliwa ambao wanakuwa wapo kwny Field zao.

Mfano. Unakuta Umesomea taxation na Uliomba TMO(Tax Management Officer II) na ukabahatika kufika ORAL Je kuna faida yoyote kwenye Oral hiyo

Km maneno ya Weng wanavyosema kuwa kwny ORAL INTERVIEW hawaangalii ujibu wa maswal pekee yake kuna vitu Wana consider ss ndy nataka aejua au kuelewa miongon mwa hvyo vitu Field yako ikiendana na Post kuna unafuu?

au Tuendelee na formula yetu 50% Knowledge 30% Bahati 20% Uwezo
 
Kwa upande wangu mm navyoona kama umeomba na unavigezo mpk mfumo ukakuruhusu na wao wakaruhusu ufanye usaili wa kuandika mpk oral kwa hiyo KOZI basi mnakuwa mna equal chance of being selected.THE REST IS KAMA ULIVYOMALIZIA SENTENSI ZA MWISHO.
 
Hadi umeitwa kwenye usaili maana yake una vigezo vinavyohitajika katika hyo post.
 
Ujue kuna muda kuwa shortlisted ni hali ya kawaida Siku 1 wasimamizi nilishaona wanamshangaa mwana kawa Je Shortlisted wkt vtu haviendani ?!
 
Kuna Ile kauli ya
Hadi umeitwa kwenye usaili maana yake una vigezo vinavyohitajika katika hyo post.
Najua wote Wana vigezo lkn kuna Priority mfano mtu mwny CPA kwny kaz za Uhasibu kuna Advantage flan anapata Kwa Sababu ya kuwa CPA holder
 
Kuomba kazi moja unamaanisha nini? Ina maana wewe husomi hata matangazo ya kazi na sifa zinazotakiwa kwa post husika?!
Sifa na vigezo naweza kuwa navyo lkn nilishajiwekea utaratibu kwanza Tangazo nalozingatia ni Moja tu. Mpk Kwa muda Flan baada ya Hapo ndy nitaanza kujichanganya kote kote?

Tuchukulie mfano we unapenda kuwa Muhasibu ss kwa Wenge lako la kukosa kaz kila unapojarbu ukajikuta umeanza kuapply hovyo hovyo ss hiyo apply yako ikakupeleka Afisa ustawi wa Jamii na kaz ukapata.

Ss hii ndy kdg siipend ndy maana nimejipa muda wakujitahid kuifikia Ndoto Yng?! Muda huo ukipita nitaanza kuomba Yoyote nayoweza kufit Kwa vigezo
 
Saa lkn CPA ni Professionalism na Sio Academic Qualification maana halis sio lzm uwe nayo Labda hiyo kaz iwe imeregard mtu wa CPA mbn kuna watu Weng tunawafahamu wa CPA na tunapiga nao Interview Moja

Lkn ukizingatia kwny Tangazo uwaga kuna Remuneration Scale imewekwa
Hii inaweza isiwe kweli, maana cpa mshahara lazma upande sana
 
Tuchukulie mfano we unapenda kuwa Muhasibu ss kwa Wenge lako la kukosa kaz kila unapojarbu ukajikuta umeanza kuapply hovyo hovyo ss hiyo apply yako ikakupeleka Afisa ustawi wa Jamii na kaz ukapata.
Hii hai-apply kwa kupitia psrs, kwa mfano, nafasi nyingi za kazi za uhasibu zina beba watu waliosoma uhasibu, banking and finance, Bcom(Accounting & Financa) Baf.

Sasa ukija kazi zinazohusu finance hizo chache nilizoorozesha hapo juu zinaingia lakini Accounting inakataa.

Kiserikali haiwezekani kuingia kupitia utumishi katika post ya sociology ikiwa umesoma coz za acc/finance.
 
Ujue kuna muda kuwa shortlisted ni hali ya kawaida Siku 1 wasimamizi nilishaona wanamshangaa mwana kawa Je Shortlisted wkt vtu haviendani ?!
Yeah inawezekana kutokea ila tu kama uliforce system. Lakini kama kozi ni relevant na walitaja other relevant degree na ukaitwa na ukafanya usaili jua mna equal chance ya kuchaguliwa nyote.

Mfano. Hizi post za juzi za Mchumi Daraja la pili Kuna degree za Economics and Agricultural Economics.

Ukiangalia exactly unaweza sema watakao pewa priority ya kazi ni WA Economics pure, but the fact ni kuwa yeyote atakaye pita oral kati ya aliyesoma Economics and Agricultural Economics wote wanakuwa na equal chance ya kupata kazi.

Rejea pia, TMO walikuwa wanahitaji waliosoma Accountancy, Taxation and Economics. Kwahiyo yeyote atakaye pita kwenda oral anaweza kupata kazi na Kuna mifano hai ya walio soma Economics kupata kazi ya TMO afu wa Taxation kukosa.

Mwisho kabisa, Mungu anambariki yule anayemtumainia na kuamini katika yeye, bahati na fursa pia ufanya kazi yake.

Kumbuka; Mungu akupi kile unachokitaka ila anakupa kile unachostahili. Tunamipango yetu lakini Mungu anamipango bora zaidi kwetu
 
Back
Top Bottom