Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Mkuu January ndo ishaisha hv.. labda FerbuaryIla nadhani January hii watatoa nyingi
Naona unalitaka sana Hilo pdf mkuu😂😂😂Kumekucha huku, pdf la data base kitambo sana halijatoka
Duh mkuu naona ulikuwa Sawa wametoa placement mpya ya NIT na AIT 30 minutes agoHapana kiongozi,naona Kuna ka placement kale ka OUT walikofanyia Makao Makuu DSM waliweka tarehe 18/01 /2023 ila Sasa wamelitoa,limebaki lile la Tarehe 10/01/2023 tu.
Mbona kuna nyingine hata mwezi haufiki wanawaita kaziniplacement walotoa leo 24/1/23 ni ya waliomaliza oral 23/10/22 . miez mitatu net
Kwa hiyo November na December mzigo wake unaweza kuwa lini...Mkuu January ndo ishaisha hv.. labda Ferbuary
November & December.. labda ni mwezi MarchKwa hiyo November na December mzigo wake unaweza kuwa lini...
Hili pdf huwa tamu sana lina suprises!!![emoji3][emoji3][emoji3]Naona unalitaka sana Hilo pdf mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee ngoma Bado Ngumu...Yaani muda wote huo unasubiri placement,hata kodi inaishia Bado hujui kama ulipe au usilipe😂😂😂November & December.. labda ni mwezi March
PDF u search ukute Jina ndani.Ila u search ukute No results Found na matumaini yalikuwa kibao.Inaum kimtindo.Hili pdf huwa tamu sana lina suprises!!![emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu, hivi zile barua zinazochukuliwa PSRS za kukutambulisha au kulipoti kazini Huwa zinacommand mtu alipoti kazini ndani ya mda/siku ngapi..?Aisee ngoma Bado Ngumu...Yaani muda wote huo unasubiri placement,hata kodi inaishia Bado hujui kama ulipe au usilipe😂😂😂
Wiki mbili kama sikosei..Mkuu, hivi zile barua zinazochukuliwa PSRS za kukutambulisha au kulipoti kazini Huwa zinacommand mtu alipoti kazini ndani ya mda/siku ngapi..?
Duuuh basi kumbe ndio maana yule Mshikaji wangu kaamua kwenda kazini..Wiki mbili kama sikosei..
Lazima aende Taasisi ya kwanza aliyopata.Maana anaweza subiri halafu akakosa,na Kule wiki mbili zinahitaji uwe ushapeleka Barua kwa ajili ya kuacha taasisi husika iendelee na Taratibu nyinginezo.Duuuh basi kumbe ndio maana yule Mshikaji wangu kaamua kwenda kazini..
Yaan issue Iko hv alifanya saili 2 tofauti kwa mda tofauti.. so mwezi uliopita kaitwa kazini kupitia Usaili wa kwanza, Ila hii taasisi aliyofanyia Usaili wa pili ndo iko moyoni mwake. So alikuwa dilemma kuwa asubiria placements tena Ila Kashindwa coz Hadi leo hyo ya pili haijatoka AU hapo inakuwaje mkuu kwa uzoefu wako au unavyoelewa..?
Lazima aende Taasisi ya kwanza aliyopata.Maana anaweza subiri halafu akakosa,na Kule wiki mbili zinahitaji uwe ushapeleka Barua kwa ajili ya kuacha taasisi husika iendelee na Taratibu nyinginezo.
Inauma mno, i have experienced this ndo maana mpk leo less kwenye expectation....PDF u search ukute Jina ndani.Ila u search ukute No results Found na matumaini yalikuwa kibao.Inaum kimtindo.
Kwahyo kama ikitokea placements imetoka na kapata anaweza kushift kwenda taasisi pya aliyoitwa..?Lazima aende Taasisi ya kwanza aliyopata.Maana anaweza subiri halafu akakosa,na Kule wiki mbili zinahitaji uwe ushapeleka Barua kwa ajili ya kuacha taasisi husika iendelee na Taratibu nyinginezo.
Yes ndio hivyo,ukipata ripoti piga kazi.Ukiwa mtumishi wa Umma unaweza kuhama muda wowote.Oooh kweli mkuu ndio maana alikwenda kuripoti Ingelikuwa ana uhakika wa 100% kupata hyo Taasisi nyingine hapo angelikacha kabisa