Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Aisee ngoma Bado Ngumu...Yaani muda wote huo unasubiri placement,hata kodi inaishia Bado hujui kama ulipe au usilipe😂😂😂
Mkuu, hivi zile barua zinazochukuliwa PSRS za kukutambulisha au kulipoti kazini Huwa zinacommand mtu alipoti kazini ndani ya mda/siku ngapi..?
 
Wiki mbili kama sikosei..
Duuuh basi kumbe ndio maana yule Mshikaji wangu kaamua kwenda kazini..
Yaan issue Iko hv alifanya saili 2 tofauti kwa mda tofauti.. so mwezi uliopita kaitwa kazini kupitia Usaili wa kwanza, Ila hii taasisi aliyofanyia Usaili wa pili ndo iko moyoni mwake.

So alikuwa dilemma kuwa asubiria placements tena Ila Kashindwa coz Hadi leo hyo ya pili haijatoka AU hapo inakuwaje mkuu kwa uzoefu wako au unavyoelewa..?
 
Duuuh basi kumbe ndio maana yule Mshikaji wangu kaamua kwenda kazini..
Yaan issue Iko hv alifanya saili 2 tofauti kwa mda tofauti.. so mwezi uliopita kaitwa kazini kupitia Usaili wa kwanza, Ila hii taasisi aliyofanyia Usaili wa pili ndo iko moyoni mwake. So alikuwa dilemma kuwa asubiria placements tena Ila Kashindwa coz Hadi leo hyo ya pili haijatoka AU hapo inakuwaje mkuu kwa uzoefu wako au unavyoelewa..?
Lazima aende Taasisi ya kwanza aliyopata.Maana anaweza subiri halafu akakosa,na Kule wiki mbili zinahitaji uwe ushapeleka Barua kwa ajili ya kuacha taasisi husika iendelee na Taratibu nyinginezo.
 
Oooh kweli mkuu ndio maana alikwenda kuripoti Ingelikuwa ana uhakika wa 100% kupata hyo Taasisi nyingine hapo angelikacha kabisa

Kwahyo kama ikitokea placements imetoka na kapata anaweza kushift kwenda taasisi pya aliyoitwa..?
 
Oooh kweli mkuu ndio maana alikwenda kuripoti Ingelikuwa ana uhakika wa 100% kupata hyo Taasisi nyingine hapo angelikacha kabisa
Yes ndio hivyo,ukipata ripoti piga kazi.Ukiwa mtumishi wa Umma unaweza kuhama muda wowote.
Sema Vijana wengi mnapenda Taasisi Fulani kwa kusikia tu,ilhali unaweza ingia taasisi uliyopatia kazi na ukafurahia maisha ya kazi vizuri tu
 
Back
Top Bottom