Mkuu ki kawaida mie Muongo sana ukinihoji kwa kwa English so nitajibu maswali yote Tena haraka mpaka unayeandika utajikuta umeandika point nusu nusu so oral zote mbili nilizofanya nilijibu maswali yote na niliyokosa majibu nayajua ila nilitembeza uongo tu mpka point zote ziishe na hata sikwami kwami huwa simalizi dakika kumi mie mkuu nishatoka.Sasa tupe muongozo oral ulijibu maswali yote?tena kwa usahihi au vipi?
Asante mkuuWewe nilijua lazima upate mkuu Kila la kheri on duties
Asante sana mzee
😂😂😂😂😂😂Nimekupata mkuu sema tatzo field yangu ni ngumu sana kudanganya hainaga jibu lakutunga hahhhhMkuu ki kawaida mie Muongo sana ukinihoji kwa kwa English so nitajibu maswali yote Tena haraka mpaka unayeandika utajikuta umeandika point nusu nusu so oral zote mbili nilizofanya nilijibu maswali yote na niliyokosa majibu nayajua ila nilitembeza uongo tu mpka point zote ziishe na hata sikwami kwami huwa simalizi dakika kumi mie mkuu nishatoka.
NOTE: usije ukachukua hii nawe ukajibu chapu then point wakawa hawazipati kamili Ika kucost ila kama unaona itasaidia we chukua hiyo technic ila uwe unajua English ya uongo
So kujibu swali lako ni Kuwa najibu maswali yote ila kama moja au mawili huwa majibu siyaamini sana
Hapo ndo shida hapo daaa ila nafasi za kufundishia vyuo na institute wanauliza maswali ya ualimu sana mkuu so unaweza Tunga tu hata how to prepare course programme😂😂😂😂😂😂Nimekupata mkuu sema tatzo field yangu ni ngumu sana kudanganya hainaga jibu lakutunga hahhhh
Hizo zinakuaga sio ngumu kutungaHapo ndo shida hapo daaa ila nafasi za kufundishia vyuo na institute wanauliza maswali ya ualimu sana mkuu so unaweza Tunga tu hata how to prepare course programme
Kila la heri mkuu kapige kazi naamini mwezi ujao na mimi nitakuwa kazini 😂😂😂😂😂Hapo ndo shida hapo daaa ila nafasi za kufundishia vyuo na institute wanauliza maswali ya ualimu sana mkuu so unaweza Tunga tu hata how to prepare course programme
Inshalah#Wadau nami ipo siku jina langu litaappear kwa mkekawa Placement PSRS na nitakuja kuwaambia hapa tena nikiwa nimepata kazi kwenye Taasisi nzuri tu..
MUNGU NDIO KILA KITU IPO SIKU HAUSLTLING ZETU ATAZIONA NA KUZIBARIKI.
Tuseme INSHALLAH......[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Inshallah ikawe hivyo mkuu tuombeane tu#Wadau nami ipo siku jina langu litaappear kwa mkekawa Placement PSRS na nitakuja kuwaambia hapa tena nikiwa nimepata kazi kwenye Taasisi nzuri tu..
MUNGU NDIO KILA KITU IPO SIKU HAUSLTLING ZETU ATAZIONA NA KUZIBARIKI.
Tuseme INSHALLAH......🙏🙏🙏🙏
Sawa Sawa mkuuMkuu ki kawaida mie Muongo sana ukinihoji kwa kwa English so nitajibu maswali yote Tena haraka mpaka unayeandika utajikuta umeandika point nusu nusu so oral zote mbili nilizofanya nilijibu maswali yote na niliyokosa majibu nayajua ila nilitembeza uongo tu mpka point zote ziishe na hata sikwami kwami huwa simalizi dakika kumi mie mkuu nishatoka.
NOTE: usije ukachukua hii nawe ukajibu chapu then point wakawa hawazipati kamili Ika kucost ila kama unaona itasaidia we chukua hiyo technic ila uwe unajua English ya uongo
So kujibu swali lako ni Kuwa najibu maswali yote ila kama moja au mawili huwa majibu siyaamini sana
Kweli mkuu nitakua mtiifu sana kazini shida ya Huku mtaani naijuaKila la heri mkuu kapige kazi naamini mwezi ujao na mimi nitakuwa kazini 😂😂😂😂😂
Inshallah kikubwa uzima tu#Wadau nami ipo siku jina langu litaappear kwa mkekawa Placement PSRS na nitakuja kuwaambia hapa tena nikiwa nimepata kazi kwenye Taasisi nzuri tu..
MUNGU NDIO KILA KITU IPO SIKU HAUSLTLING ZETU ATAZIONA NA KUZIBARIKI.
Tuseme INSHALLAH......🙏🙏🙏🙏
kabisa mtaani kwamoto sanaKweli mkuu nitakua mtiifu sana kazini shida ya Huku mtaani naijua
Sawa mkuu ahsante kwa muongozo.Mkuu hapa sitatoka mkuu mie nitakuwepo kuwapa moyo wenzangu tusiokuwa na connection tupambane mkuu naanza na wewe mkuu usikate tamaa soma hizo theory na terminology mkuu maana ndo maswali ya utumishi komaa nayo unaweza Tenga hata dakika 20 kwa siku inatosha kupitia pitia hata vi types vya viruses
Hiyo haraka haraka tuombe Mungu usije ukaitumie huko kazini[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu ki kawaida mie Muongo sana ukinihoji kwa kwa English so nitajibu maswali yote Tena haraka mpaka unayeandika utajikuta umeandika point nusu nusu so oral zote mbili nilizofanya nilijibu maswali yote na niliyokosa majibu nayajua ila nilitembeza uongo tu mpka point zote ziishe na hata sikwami kwami huwa simalizi dakika kumi mie mkuu nishatoka.
NOTE: usije ukachukua hii nawe ukajibu chapu then point wakawa hawazipati kamili Ika kucost ila kama unaona itasaidia we chukua hiyo technic ila uwe unajua English ya uongo
So kujibu swali lako ni Kuwa najibu maswali yote ila kama moja au mawili huwa majibu siyaamini sana
Hongera sanaWakuu nimetoboa Alhamdulillaah, ambao hamjapata nawatia moyo, sitasahau huu uzi umenipa matumaini sana.
Hongera sanaMungu kasaidia mkuuu nimetoboa aiseee