Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Body language, facial, smile, kusalimia, kuingia mule, posture, gesture etc mtujuze wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amshukuru Mungu, hicho alichokipata ndiyo riziki yake.Duuuh basi kumbe ndio maana yule Mshikaji wangu kaamua kwenda kazini..
Yaan issue Iko hv alifanya saili 2 tofauti kwa mda tofauti.. so mwezi uliopita kaitwa kazini kupitia Usaili wa kwanza, Ila hii taasisi aliyofanyia Usaili wa pili ndo iko moyoni mwake. So alikuwa dilemma kuwa asubiria placements tena Ila Kashindwa coz Hadi leo hyo ya pili haijatoka AU hapo inakuwaje mkuu kwa uzoefu wako au unavyoelewa..?
Mkuu, hivi zile barua zinazochukuliwa PSRS za kukutambulisha au kulipoti kazini Huwa zinacommand mtu alipoti kazini ndani ya mda/siku ngapi..?
Vp kuna jambo nini huko??[emoji848]Wazee wa TARI,HESLB,OUT,RUWASA,TAEC na wengino mliofunga mwaka 2022 kwa saili pale PSRS- Asha Rose Migiro, DODOMA mpoo??
Kuna member mmoja ni mwalimu ye kasema aliongea mpaka kilugha Cha kwao huko Ruangwa Ila wapi...😁😁😁Body language, facial, smile, kusalimia, kuingia mule, posture, gesture etc mtujuze wadau
Mkuu naona ulikula shavu,, barua official kabisa hii hongera na Asante kwa kutuongezea maarifa hapa
Duuh hatarKuna member mmoja ni mwalimu ye kasema aliongea mpaka kilugha Cha kwao huko Ruangwa Ila wapi...😁😁😁
Naona jamaa aliamua kuinyumbua kidgo ssalamu akaweka kilugha Cha kwao NANDAGALA😂
Usivae tie nyekundu kwenye Oral ni kujipunguzoa marksKisha nilichoona me kwemye oral huwa tunapishana kidg sana maksi ila tu hawaziwek wazi, lkn vitu vingine mtujuze km mavazi nk
Tunaomba ufafanuzi kiongozi kwa nini hasaUsivae tie nyekundu kwenye Oral ni kujipunguzoa marks
Tunaomba ufafanuzi kiongozi kwa nini hasa
Asante sanaa sina cha kuongeza hapo umemaliza kila kitu hadi mifanoKama ntakosea basi niko tayari kurekebishwa, tai nyekundu kidiplomasia inamaanisha nguvu, mamlaka/madaraka ya kuongoza taifa fulani/wananchi.
Nitatolea mifano michache, always marais wakiwa wanaapishwa uwa wanavaa tai nyekundu kumaanisha kapokea mamlaka na ana nguvu...
Wengine mtauliza labda vipi kuhusu mama Samia, yeye kuonesha hilo ilibidi avae hijab nyekundu siku anaapishwa.
Pia kama kuna sehemu kuna kiongozi mkuu kavaa tai nyekundu, protocal zinasema usivae, kuna sehemu rais anaweza akawa maybe anahutubia au special occasion labda ya kuhusisha mawaziri ama wabunge, kama atakuwa kavaa tai nyekundu/hijab kwa upande wa mama Samia, the rest hamruhusiwi kuvaa, vaa rangi unayohis wewe , vaa labda blue kuonesha uimara na utulivu, black kuonesha usmart/utanashati etc. yaan inshort msivae tai kiholela au usivae kabisa[emoji23][emoji3064].
So tukirudi kwa aliecomment hapo juu, ni kwamba ukivaa tai nyekundu halafu unaenda kwenye usaili wa utumishi ni kwamba wewe ndo kiongozi pale, una madaraka tyar, una mamlaka ya kufanya unachotaka[emoji3064][emoji3064][emoji3064], (sema hapa sasa na wasimamizi nao wawe wanaelewa) of which najua 70% of them wapo aware na hili.
In short, vaa tai nyekundu ukijua we ni mbunge umeenda sasa kwenye jimbo lako kuhutubia na hamna mwenye mamlaka zaidi yako, we ni mwenyekiti wa kikundi chenu cha mtaani, chuoni[emoji23], wewe ndo boss hapo ofisini, kwenye kikao cha familia we ndo mwenye mji[emoji3060][emoji28], hivyo yan kama unapenda kuvaa tai nyekundu jivishe mamlaka sehemu, ufit in, hivyo yani
N.B Ningeambatanisha na picha ila usingizi umenikaba[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42], mnaweza pitia pitia picha za marais wakiappear kwenye a very special occasion...
Mlale salama
Nawasilisha
Okay captured, shukuran mkuuUsivae tie nyekundu kwenye Oral ni kujipunguzoa marks
Ndio, mkuuZote ni Dodoma..?
Kama hujui swali toa disclaimer kabisa sijui lakini nataka kutoa my own opinions na jaribu kulijibu tokana na uelewa wako. Ila usiache kujibu
Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.Kama ntakosea basi niko tayari kurekebishwa, tai nyekundu kidiplomasia inamaanisha nguvu, mamlaka/madaraka ya kuongoza taifa fulani/wananchi.
Nitatolea mifano michache, always marais wakiwa wanaapishwa uwa wanavaa tai nyekundu kumaanisha kapokea mamlaka na ana nguvu...
Wengine mtauliza labda vipi kuhusu mama Samia, yeye kuonesha hilo ilibidi avae hijab nyekundu siku anaapishwa.
Pia kama kuna sehemu kuna kiongozi mkuu kavaa tai nyekundu, protocal zinasema usivae, kuna sehemu rais anaweza akawa maybe anahutubia au special occasion labda ya kuhusisha mawaziri ama wabunge, kama atakuwa kavaa tai nyekundu/hijab kwa upande wa mama Samia, the rest hamruhusiwi kuvaa, vaa rangi unayohis wewe , vaa labda blue kuonesha uimara na utulivu, black kuonesha usmart/utanashati etc. yaan inshort msivae tai kiholela au usivae kabisa[emoji23][emoji3064].
So tukirudi kwa aliecomment hapo juu, ni kwamba ukivaa tai nyekundu halafu unaenda kwenye usaili wa utumishi ni kwamba wewe ndo kiongozi pale, una madaraka tyar, una mamlaka ya kufanya unachotaka[emoji3064][emoji3064][emoji3064], (sema hapa sasa na wasimamizi nao wawe wanaelewa) of which najua 70% of them wapo aware na hili.
In short, vaa tai nyekundu ukijua we ni mbunge umeenda sasa kwenye jimbo lako kuhutubia na hamna mwenye mamlaka zaidi yako, we ni mwenyekiti wa kikundi chenu cha mtaani, chuoni[emoji23], wewe ndo boss hapo ofisini, kwenye kikao cha familia we ndo mwenye mji[emoji3060][emoji28], hivyo yan kama unapenda kuvaa tai nyekundu jivishe mamlaka sehemu, ufit in, hivyo yani
N.B Ningeambatanisha na picha ila usingizi umenikaba[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42], mnaweza pitia pitia picha za marais wakiappear kwenye a very special occasion...
Mlale salama
Nawasilisha
We unapenda sana ubishani haya na wewe ukipata nafasi ya kuitwa Oral vaa tie nyekundu 😁Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.
Nilitaka niseme na mimi hivihivi kuna mtu atabishaWe unapenda sana ubishani haya na wewe ukipata nafasi ya kuitwa Oral vaa tie nyekundu 😁
Asitegemee watamwambia kuwa ulichovaa hakistahili coz oral nayo ni mtihani kama ilivyo written, na kwenye oral usitegemee marks zinatoka kwenye yale maswali matano unayoulizwa, kuna marks za muonekano wako the way ulivyovaa, confidence uliyokuwa nayo kwenye mahojiano, na majibu kulingana na maswali utakayoulizwa.Nilitaka niseme na mimi hivihivi kuna mtu atabisha
Ni kweli mkuu ila utumishi bhana sidhani kama kwenye mavazi wanazingatia...Asitegemee watamwambia kuwa ulichovaa hakistahili coz oral nayo ni mtihani kama ilivyo written, na kwenye oral usitegemee marks zinatoka kwenye yale maswali matano unayoulizwa, kuna marks za muonekano wako the way ulivyovaa, confidence uliyokuwa nayo kwenye mahojiano, na majibu kulingana na maswali utakayoulizwa.
Kwa tafsiri kwamba uvae tu smart, lkn uniambie hawazingatii mkuu kwamba uende na bukta kisha utoboe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji848][emoji848][emoji848]Ni kweli mkuu ila utumishi bhana sidhani kama kwenye mavazi wanazingatia...