Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Amshukuru Mungu, hicho alichokipata ndiyo riziki yake.
 
Body language, facial, smile, kusalimia, kuingia mule, posture, gesture etc mtujuze wadau
Kuna member mmoja ni mwalimu ye kasema aliongea mpaka kilugha Cha kwao huko Ruangwa Ila wapi...😁😁😁

Naona jamaa aliamua kuinyumbua kidgo ssalamu akaweka kilugha Cha kwao NANDAGALA😂
 
Tunaomba ufafanuzi kiongozi kwa nini hasa

Kama ntakosea basi niko tayari kurekebishwa, tai nyekundu kidiplomasia inamaanisha nguvu, mamlaka/madaraka ya kuongoza taifa fulani/wananchi.

Nitatolea mifano michache, always marais wakiwa wanaapishwa uwa wanavaa tai nyekundu kumaanisha kapokea mamlaka na ana nguvu...
Wengine mtauliza labda vipi kuhusu mama Samia, yeye kuonesha hilo ilibidi avae hijab nyekundu siku anaapishwa.

Pia kama kuna sehemu kuna kiongozi mkuu kavaa tai nyekundu, protocal zinasema usivae, kuna sehemu rais anaweza akawa maybe anahutubia au special occasion labda ya kuhusisha mawaziri ama wabunge, kama atakuwa kavaa tai nyekundu/hijab kwa upande wa mama Samia, the rest hamruhusiwi kuvaa, vaa rangi unayohis wewe , vaa labda blue kuonesha uimara na utulivu, black kuonesha usmart/utanashati etc. yaan inshort msivae tai kiholela au usivae kabisa[emoji23][emoji3064].

So tukirudi kwa aliecomment hapo juu, ni kwamba ukivaa tai nyekundu halafu unaenda kwenye usaili wa utumishi ni kwamba wewe ndo kiongozi pale, una madaraka tyar, una mamlaka ya kufanya unachotaka[emoji3064][emoji3064][emoji3064], (sema hapa sasa na wasimamizi nao wawe wanaelewa) of which najua 70% of them wapo aware na hili.

In short, vaa tai nyekundu ukijua we ni mbunge umeenda sasa kwenye jimbo lako kuhutubia na hamna mwenye mamlaka zaidi yako, we ni mwenyekiti wa kikundi chenu cha mtaani, chuoni[emoji23], wewe ndo boss hapo ofisini, kwenye kikao cha familia we ndo mwenye mji[emoji3060][emoji28], hivyo yan kama unapenda kuvaa tai nyekundu jivishe mamlaka sehemu, ufit in, hivyo yani

N.B Ningeambatanisha na picha ila usingizi umenikaba[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42], mnaweza pitia pitia picha za marais wakiappear kwenye a very special occasion...
Mlale salama
Nawasilisha
 
Asante sanaa sina cha kuongeza hapo umemaliza kila kitu hadi mifano
 
Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.
 
Nilitaka niseme na mimi hivihivi kuna mtu atabisha
Asitegemee watamwambia kuwa ulichovaa hakistahili coz oral nayo ni mtihani kama ilivyo written, na kwenye oral usitegemee marks zinatoka kwenye yale maswali matano unayoulizwa, kuna marks za muonekano wako the way ulivyovaa, confidence uliyokuwa nayo kwenye mahojiano, na majibu kulingana na maswali utakayoulizwa.
 
Ni kweli mkuu ila utumishi bhana sidhani kama kwenye mavazi wanazingatia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…