Mimi niliazima viatu vyekundu kwenda kwenye oral.Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.
Siku nikienda kwenye oral na kanzu nyekundu, kutakuwa na shida yoyote?We unapenda sana ubishani haya na wewe ukipata nafasi ya kuitwa Oral vaa tie nyekundu [emoji16]
Wanazingatia mkuu, uendapo kuchukua barua pale Asha Rose ukiwa umevaa open shoes, au suruali za kubana, sketi fupi na nguo za wazi sana kwa wanawake,Ni kweli mkuu ila utumishi bhana sidhani kama kwenye mavazi wanazingatia...
Huyo hashindwi kwenda kwenye oral na vinjunga/vipensi vya waomba singeli huyo.Kwa tafsiri kwamba uvae tu smart, lkn uniambie hawazingatii mkuu kwamba uende na bukta kisha utoboe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji848][emoji848][emoji848]
Usisahau na chupi nyekunduSiku nikienda kwenye oral na kanzu nyekundu, kutakuwa na shida yoyote?
Sasa chupi nyekundu inahusikaje kwenye Interview mkuu?Usisahau na chupi nyekundu
[emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau na chupi nyekundu
Unapenda sana kubisha kila kitu, sio lazima ubishe kila kitu kaka angu.Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.
Sidhani lakini kwamba ni lazima uvae tai. Cha msingi ni kuvaa official tu. Au hii imekaaje?Aaah hilo ndo la kwanza ukiingia tu pale kwenye room ya interview supervisor wa utumishi ndo kazi yake hiyoo ya kwanza then anandika marks zake na report ya muonekano wako. Wanazingatiaa vibaya mno, last interview nlienda kuna mwana alivaa sandals kuna msimamizi anaeita majina anakupeleka machinjioni akamuona kumuuliza vipi jamaa akadai anaumwa miguu akamwambia kule ndani hutumii zaidi ya dakika 15 tafuta viatu uvae ukitoka we endelea na sandals. Na yeye ndo akatwambia mchanganuo wa marks sio maswali pekee kuna vitu vingine wanaangalia na kukupa marks, sometimes mtu anayumba kwenye maswali ila huku kwingine kunambeba ndo anaanza kushangaa nimepataje na skujibu vizuri maswali.
Hamna aliesema ni lazima kuvaa tai, ila ukiamua kuvaa angalia ata rangi za kuvaaSidhani lakini kwamba ni lazima uvae tai. Cha msingi ni kuvaa official tu. Au hii imekaaje?
Point ilikuwa usivae tie nyekundu sio kwamba tie ni lazima kuvaa.Sidhani lakini kwamba ni lazima uvae tai. Cha msingi ni kuvaa official tu. Au hii imekaaje?
Hawana tofauti na sisi[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usaili wa kazi nchini Kenya leo hii.View attachment 2495027
Huu ni msemo pendwa wa wizyUkivaa tuu tai, tai yoyote ile ww ni baba jeni bye bye.🤣🤣🤣🤣
Ajira ni suala la dunia nzima, hasa Afrika yetu hii ni hatari sanaHawana tofauti na sisi[emoji23][emoji23]
Msisahau nasi hapa TZ jumamosi na Jumapili hii pale UDOM kutakuwa hv maana sio kwa nyomi hii kwenye hizi pdf[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usaili wa kazi nchini Kenya leo hii.View attachment 2495027
January hii watakuwa wamemaliza saili zote za mwaka 2022...PSRS kwa kuona nyomi itakuwa kubwa kuna baadhi za saili zimepelekwa kwenye Taasisi Husika..
UDSM
DUCE
MUST
MUHAS
January hii watakuwa wamemaliza saili zote za mwaka 2022...
Mpaka kufikia wa nne au wa Tano na placements zote zitakuwa tayari.