Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hamna kitu kama hicho,jamaa yangu mmoja nilimuazima tai yangu nyekundu kwendea oral interview hapo utumishi na akapata kazi.
Unapenda sana kubisha kila kitu, sio lazima ubishe kila kitu kaka angu.

Mfano huyo uliemuazima tai nyekundu unafikiri angepewa zero kisa tai while kajibu maswali yote vizuri, lakini fikiria angekuwa anajua swali labda moja au mawili, halafu appearance nayo imuangushe.

Mimi nashauri, u can take it or not take it, hakuna aliesema ukienda kwenye usaili wa oral uvae tai nyekundu au uvae tai, no no noooo, kama hutaki kuvaa tai sawa, u will still appear smart, lakin kama umeamua kuvaa tai basi vaa ata black ama blue, vitu vingine unajiongeza tu sio lazima mtu asimame pale akwambie jinsi ya kuvaa from head to toe.

Na hakuna msimamizi pale anaweza kukwambia et kavue hiyo tai nyekundu ni ya mamlaka no no no
 
Aaah hilo ndo la kwanza ukiingia tu pale kwenye room ya interview supervisor wa utumishi ndo kazi yake hiyoo ya kwanza then anandika marks zake na report ya muonekano wako. Wanazingatiaa vibaya mno, last interview nlienda kuna mwana alivaa sandals kuna msimamizi anaeita majina anakupeleka machinjioni akamuona kumuuliza vipi jamaa akadai anaumwa miguu akamwambia kule ndani hutumii zaidi ya dakika 15 tafuta viatu uvae ukitoka we endelea na sandals. Na yeye ndo akatwambia mchanganuo wa marks sio maswali pekee kuna vitu vingine wanaangalia na kukupa marks, sometimes mtu anayumba kwenye maswali ila huku kwingine kunambeba ndo anaanza kushangaa nimepataje na skujibu vizuri maswali.
Sidhani lakini kwamba ni lazima uvae tai. Cha msingi ni kuvaa official tu. Au hii imekaaje?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usaili wa kazi nchini Kenya leo hii.
20230125_115722.jpg
 
Back
Top Bottom