Karibu sana Ukaguzi mkuu, jiandaeni huko tunakuja kukagua[emoji3][emoji3][emoji3]
Uchovu tu hapa kutokana na mapindi non stop. Jana sikupata kabisa muda kuingia humu.Mwifwa acha kulike bhana unanijazia notifications, we leta mpya ulizokujanazo humu Leo vijana tusanuke nazo
[emoji12][emoji12]
Hapo nitakuwa kazini kulinda mrija wangu, hatutaangaliana usoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm na ww ndugu bwna, najua utaficha ficha kidogo mapungufu yetu.
Haina hata tofauti aiseeSasa unashangaa nini,ina tofauti gani na hizi za hapa nchini kwetu za TRA?
Tena sio kazi ndogo yani[emoji23]Finance Management Officer II
Mwajiri TPDC , nafasi wametoa 2 , walioitwa kwenye written interview 2,106 , KAZI ipo
Basi useme siku 5 kabla hujatokea ndugu yako nijipange, usishitukize kaka😥😥. Mim pia nataka kulinda mrija wangu.Hapo nitakuwa kazini kulinda mrija wangu, hatutaangaliana usoni[emoji3][emoji3][emoji3]
Furaha yangu nikute makosa ili nijipinde kuwajibika. Sasa nikikutaarifu utaficha makosa.Basi useme siku 5 kabla hujatokea ndugu yako nijipange, usishitukize kaka[emoji26][emoji26]. Mim pia nataka kulinda mrija wangu.
Daaaaah, Kwa kifupi unataka niupoteze mrija wangu.Furaha yangu nikute makosa ili nijipinde kuwajibika. Sasa nikikutaarifu utaficha makosa.
Kumbe bwana wizy ulivuta mrija ukapiga comeback ya nyu id tusikuzoeeeDaaaaah, Kwa kifupi unataka niupoteze mrija wangu.
Hautaupoteza endapo ukitimiza majukumu yako ipasavyo kulingana na miongozo na sheria zakeDaaaaah, Kwa kifupi unataka niupoteze mrija wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nchi ngumu hii!!!![emoji848]Kumbe bwana wizy ulivuta mrija ukapiga comeback ya nyu id tusikuzoeee
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hapana mm si yeye.Kumbe bwana wizy ulivuta mrija ukapiga comeback ya nyu id tusikuzoeee
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nyie mnakaguliwa na nani. Wakaguzi nyie nani anawakagua.Hautaupoteza endapo ukizimiza majukumu yako ipasavyo kulingana na miongozo na sheria.
Duuu , vyeti hawatoi tena au?[emoji848]Wakuu nimeitwa kwenye interview Dodoma. ila changamoto cheti changu graduate engineer kimeisha muda wake nimefatilia Erb wamenipa barua mwenye uzoefu hawa PSRS wanakubali hizi barua za Erb?
Duuu, kweli mambo ni Motooo, wanawaamsha msisinzie [emoji4][emoji4]Hahahaaa, tumefanya leo quiz
Mchujo lazima uanzie njeTena sio kazi ndogo yani[emoji23]
Lini ulilamba asali maana hukuleta shuhuda?Hapana mm si yeye.
Tuko salama sijui huko kwenye mapambano....
salama, cjui huko kwenye kitufe cha placement