Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama ambavyo binadamu kwa nyakati tofauti kiimani Mungu amekuwa akitutumia manabii kuja kutuongoza.

Vivyo hivyo na huu uzi, unahistoria ya kupata manabii kwa nyakati tofauti wanaousimamia na kuhakikisha unakuwa active, kisha muda wao ukifika ukingoni wanaondoka na kupatikana wengine katika namna zisizo tarajiwa.

Kwa sasa japo haijawa rasmi, lakini nauona ujio wa nabii Yakunle, ambaye ameibuka kwa njia ya maswali yenye lengo la kuwakilisha ambacho wengine wangetamani kufahamu, huku kwa nyakati tofauti akihakikisha jobless hawaki tamaa kwa kuwapa moyo.
Kabisakabisa mkuu🙏🙏 hakuna kukata tamaa,

Kila la kheri nyote mlioko safarini kufuata saili zinazoanza kesho Tar 28
 
Msaada wadau ,Kuna rafik yangu aliweka qualifications level ya advance diploma badala ya diploma ,Sasa anahitaji atoe iyo advance diploma aweke diploma.soo sad alishatuma maombi ,na majibu yametoka
Inaonesha hivi
IMG-20230127-WA0003.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom