Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart kulingana na matakwa ya kada husika,

Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.

Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
Umemaliza kaka
Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart(nadhifu) kulingana na matakwa ya kada husika,

Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.

Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
Kaka umemaliza kueleza kila kitu maneno yako yanajitosheleza, kijana kashindwa kutofautisha kati ya utani na ukweli, yaani kweli unyimwe kazi kisaa umependeza kuliko boss, jaman kama unashindwa kujua huu ni utani then bas ni disaster.
 
Kama ambavyo binadamu kwa nyakati tofauti kiimani Mungu amekuwa akitutumia manabii kuja kutuongoza.

Vivyo hivyo na huu uzi, unahistoria ya kupata manabii kwa nyakati tofauti wanaousimamia na kuhakikisha unakuwa active, kisha muda wao ukifika ukingoni wanaondoka na kupatikana wengine katika namna zisizo tarajiwa.

Kwa sasa japo haijawa rasmi, lakini nauona ujio wa nabii Yakunle, ambaye ameibuka kwa njia ya maswali yenye lengo la kuwakilisha ambacho wengine wangetamani kufahamu, huku kwa nyakati tofauti akihakikisha jobless hawaki tamaa kwa kuwapa moyo.
Hahahaaa, kweli aisee
 
Mkuu unaitupia hilo mimi tena, hii ilikia hoja "yenu", wewe na dada, toa ufafanuzi hapa, "heavy red color tie" ama "mixed red colored" ipi ina nafuu, protocally? [emoji2957]
Eeeeeiiii[emoji23][emoji23], jaman hii topic ilishaisha na iliisha poa tu. Sasa kuirudia hapa bado kuna watu watakuja kuchange iwe ubishi. Wakati kila kitu kinaeleweka, mavazi ya utumishi yapo very specified, ila kuna wale wazee wa tie, so kama unapenda kuvaa tai, don't just wear any color, rangi zote zina maana hizo kiprotocal.

Lakini sio kuwa kwamba ukivaa tai nyekundu utafukuzwa, no na interview unaweza pita, maana interview nzima hawaangalii mavazi tu kuna vitu vingine kibao. Ni kama ingredients tu kwenye chakula.
 
Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart(nadhifu) kulingana na matakwa ya kada husika,

Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.

Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
Bravooooo!!
 
STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Acheni kuongopea Umma wale wote wanaona kuja na status za SELECTED for NULL ( hawa wanakuwa wametumia App ya PSRS na sio Website)
 
Back
Top Bottom