Hivi selected for null ndo unakua umewakanda?Bila shaka mpo salama salimini wapambanaji wote wa mrija wa Asali.
Mapambano yaendelee, Mungu yupo pamoja nanyi, Ipo siku ndoto za kila mmoja zitatimia
Tunakaguliwa na mkaguzi ambaye anateuliwa na Kamati ya Bunge inayoitwa PAC.Nyie mnakaguliwa na nani. Wakaguzi nyie nani anawakagua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio hivyo mkuuDuuu, kweli mambo ni Motooo, wanawaamsha msisinzie [emoji4][emoji4]
Umemaliza kakaMwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart kulingana na matakwa ya kada husika,
Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.
Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
Kaka umemaliza kueleza kila kitu maneno yako yanajitosheleza, kijana kashindwa kutofautisha kati ya utani na ukweli, yaani kweli unyimwe kazi kisaa umependeza kuliko boss, jaman kama unashindwa kujua huu ni utani then bas ni disaster.Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart(nadhifu) kulingana na matakwa ya kada husika,
Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.
Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
Hahahaaa, kweli aiseeKama ambavyo binadamu kwa nyakati tofauti kiimani Mungu amekuwa akitutumia manabii kuja kutuongoza.
Vivyo hivyo na huu uzi, unahistoria ya kupata manabii kwa nyakati tofauti wanaousimamia na kuhakikisha unakuwa active, kisha muda wao ukifika ukingoni wanaondoka na kupatikana wengine katika namna zisizo tarajiwa.
Kwa sasa japo haijawa rasmi, lakini nauona ujio wa nabii Yakunle, ambaye ameibuka kwa njia ya maswali yenye lengo la kuwakilisha ambacho wengine wangetamani kufahamu, huku kwa nyakati tofauti akihakikisha jobless hawaki tamaa kwa kuwapa moyo.
Sawa kaka nitajitaid niingie kwenye hii kamati ili nikukague. Hakikisha unakuwa mtumishi mwema ili uutunze mrija wako tukikutana.Tunakaguliwa na mkaguzi ambaye anateuliwa na Kamati ya Bunge inayoitwa PAC.
Eeeeeiiii[emoji23][emoji23], jaman hii topic ilishaisha na iliisha poa tu. Sasa kuirudia hapa bado kuna watu watakuja kuchange iwe ubishi. Wakati kila kitu kinaeleweka, mavazi ya utumishi yapo very specified, ila kuna wale wazee wa tie, so kama unapenda kuvaa tai, don't just wear any color, rangi zote zina maana hizo kiprotocal.Mkuu unaitupia hilo mimi tena, hii ilikia hoja "yenu", wewe na dada, toa ufafanuzi hapa, "heavy red color tie" ama "mixed red colored" ipi ina nafuu, protocally? [emoji2957]
Bravooooo!!Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart(nadhifu) kulingana na matakwa ya kada husika,
Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.
Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
Ahsante sana mkuu. Training imeisha imebaki hatima ya vituo jumatatuMwifwa leo anamaliza induction course yake pale ukaguzi house na kisha kupangiwa kituo chake cha kazi,kila lakheri mpambanaji
Hahaaahhh, am here praying for u both, mkakaguane hukooSawa kaka nitajitaid niingie kwenye hii kamati ili nikukague. Hakikisha unakuwa mtumishi mwema ili uutunze mrija wako tukikutana.
Kichwa hakiko vizur ndo nmetoka pigwa jua hukoo[emoji28]. Ngoja nitulie kwanzaKina nani hao "Da PGO?"
Hahahaaa, hili linaweza likawa confidential kwa kiasi chake mkuu.Cha muhimu asisahau kuleta mrejesho wa atakopangwa kwenda kuenjoy mrija wa asali.
Acheni kuongopea Umma wale wote wanaona kuja na status za SELECTED for NULL ( hawa wanakuwa wametumia App ya PSRS na sio Website)STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Leteni katopic kengine basi ka kuhusu kazi haya maswala ya status uwiii, kila mtu anakuja na lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mtaua watu kwa pressureAcheni kuongopea Umma wale wote wanaona kuja na status za SELECTED for NULL ( hawa wanakuwa wametumia App ya PSRS na sio Website)
Tutaenda wote kumkagua huyu kijana ukiwa kama mwanasheria wa kamati, huyu jana kadiriki kuutushia mrija wangu🤣🤣🤣Hahaaahhh, am here praying for u both, mkakaguane hukoo
Bila shaka uko poa kabisa Dada!Mbona kuhusu hili kila kitu kilielezwa kikawa clear, sema watu wanataka kucomplicate mambo tu na kuwatishia, wengine ndo kazi yao humu[emoji23][emoji23]
Sikuwahi kuwa muumini wa status, kwa hiyo hilo sijui mkuu
Rudi shule ukaitafute CPA (T) ndio utakuwa na sifa ya kuchaguliwa kuwa mkaguzi wa UkaguziSawa kaka nitajitaid niingie kwenye hii kamati ili nikukague. Hakikisha unakuwa mtumishi mwema ili uutunze mrija wako tukikutana.
Sikuwahi kuwa muumini wa status, kwa hiyo hilo sijui
Sawa nachukua ushaur wako.Rudi shule ukaitafute CPA (T) ndio utakuwa na sifa ya kuchaguliwa kuwa mkaguzi wa Ukaguzi