Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Someone i know yeye kwenye app kuna kazi anayosubiria placement ameandikiwa NOT SELECTED FOR NULL. Maneno Null yakiwa ktk rangi nyeusi whereas mengine ni nyekundu.

Kumbuka huyu ameenda oral interview lakini status yake inamwambia Not selected for.
 
Someone i inow yeye kwenye app kuna kazi anayosubiria placement ameandikiwa NOT SELECTED FOR NULL. Maneno Null yakiwa ktk rangi nyeusi whereas mengine ni nyekundu.

Kumbuka huyu ameenda oral interview lakini status yake inamwambia Not selected for.
Mi mwenyewe iliandikwa hivyo na nikakosa
 
mpo busy na status after Oral wakati Only PDF ndo inakupa Main Status ya wewe kuanza kuenjoy mrija wa asali au kujaribu next time. Sasa mtu unaumiza kichwa kwa status ambayo kila mtu anayo. Kujitaftia Sonona huko na ndomana watu wanawapa majibu ya kuzidi kuwakatisha tamaa.

Umepiga Oral kuwa mpole tuliaa subiri PDF litoke utapata majibu, au mlitaka kuona status after oral ni SELECTED FOR NEW JOB
 
Hivi kumbe maswali huwa yanahusu taaluma yako?

Mimi nilidhani ni random question za uelewa tu.

Na oral ni hivyo hivyo?
 
Someone i know yeye kwenye app kuna kazi anayosubiria placement ameandikiwa NOT SELECTED FOR NULL. Maneno Null yakiwa ktk rangi nyeusi whereas mengine ni nyekundu.

Kumbuka huyu ameenda oral interview lakini status yake inamwambia Not selected for.
Naona mmeamua kuchangansha genge.Status hazibadiriki hata siku Moja.Iwe umepata kazi au haujapata kazi.Ila ni itakuonyesha kuwa selected for Oral au not Selected for Oral.Hayo mengine mnayoleta ni kuchangamsha genge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…