JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,770
Umekandwa[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekandwa[emoji3]
Umekandwa[emoji3]
Mkuu acha tuu tucheke tupunguze stress za kusubiria placement maana hakuna namna. Wakati nasoma programming, "null" ilikua code ya nothing yaani sifuri au hamna kitu.[emoji23]
Shukrani sana!Ahsante kaka, naelewa[emoji1431]
Asante sana mkuuMungu yupo pamoja nanyi, endeleeni kupambana na muwe na subira
Kwenye database null value is unknown or does not exist.Mkuu acha tuu tucheke tupunguze stress za kusubiria placement maana hakuna namna. Wakati nasoma programming, "null" ilikua code ya nothing yaani sifuri au hamna kitu.
Haha wachawi wako wamekuja hahahaha.
Na walegee
😂😂😂😂
[emoji38]Kwenye database null value is unknown or does not exist.
Wale wa kutumia app, waje hapa kutoa neno.[emoji38]
Mi mwenyewe iliandikwa hivyo na nikakosaSomeone i inow yeye kwenye app kuna kazi anayosubiria placement ameandikiwa NOT SELECTED FOR NULL. Maneno Null yakiwa ktk rangi nyeusi whereas mengine ni nyekundu.
Kumbuka huyu ameenda oral interview lakini status yake inamwambia Not selected for.
Hivi kumbe maswali huwa yanahusu taaluma yako?MCHUMI DARAJA LA 2, WRITTEN PAPER
Qn 1. Define the following economic concept
1: Production posibility frontier
2: Elasticity of demand
3: Wants
4:Need
Qn a: Define Rent seeking
b) Explain the effects of rent seeking as the main economic problem like corruption.. Naomba kurekebishwa kana ntakua nimekosea
3: Firms/busines associate with expansion, there are benefits obtained from expansion, Mention five benefit that firms obtaining from its expansion
Qn4: Recently government incease rate of wages to their employees by 23.3.%.. Explain the impact of salary increase to the tanzania economy
Naona mmeamua kuchangansha genge.Status hazibadiriki hata siku Moja.Iwe umepata kazi au haujapata kazi.Ila ni itakuonyesha kuwa selected for Oral au not Selected for Oral.Hayo mengine mnayoleta ni kuchangamsha genge.Someone i know yeye kwenye app kuna kazi anayosubiria placement ameandikiwa NOT SELECTED FOR NULL. Maneno Null yakiwa ktk rangi nyeusi whereas mengine ni nyekundu.
Kumbuka huyu ameenda oral interview lakini status yake inamwambia Not selected for.
Kwenye post za taasisi gani?Mi mwenyewe iliandikwa hivyo na nikakosa
Sawa mkuuNaona mmeamua kuchangansha genge.Status hazibadiriki hata siku Moja.Iwe umepata kazi au haujapata kazi.Ila ni itakuonyesha kuwa selected for Oral au not Selected for Oral.Hayo mengine mnayoleta ni kuchangamsha genge.
Za VETA