Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

ilo swali lina maksi ngap
 
Kwanza sidhani/sikumbuki kama hilo swali nilikuuliza/kukuquote wewe ILA kama hujisikii kujibu we pita kushoto.. Mbona maisha yanakuwa Coolest.
So far hujamuuliza mtu mahususi, utaleta swali hapa likiwa ndani ya uwezo wangu nitachangia/kujibu kwa ku-reply kabisaaa. Sasa ni wewe, kusoma au kulipotezea na maisha yanakua coolest.
 
Natoa ushauri hapa kama una experience sana kwenye education background anzia pale ulipoanza kupata professional skills yaan kama kuanzia chuo hivi mpaka sehemu ambap upo sasa plus unapojielezea hakikisha una rely na vitu vinavyohusu kazi uliyoomba hata kama hutoweza ku include vyote ukitaka kuweka elimu ya sekondari labda mention kwa ufupi wew ni graduate zyx school then ukajiunga na jxy school then chuo hapa ndio ueleze kwa umakini
 
Sawa mkuu, ila me nimeeleza according to mimi nilivyojibu na nikafanikiwa... Sikuona umuhimu wa kujieleza sana maana hawapendi maneno mengi.
 
U
Uhamiaji maswali yake


1. Define
Foreigner, immigration, bonified citizen.

2. Importance of immigration to economy.

3. Regional Africans block that Tanzania is a member.

4. Required documents to travel abroad.

5. Andika wimbo wa taifa
Hiyo andika wimbo wa taifa in Swahili au ndy Lugha ya Kigeni πŸ˜…πŸ˜…

Km n Lugha ya Kigeni ningeondoka bila kuaga hik ndy kinafanya mara kadhaa naombaga Kada yng tu
 
Uliandika hv umaliz Mtihan
 
Tatizo lugha ya malikia kaka inasalitigi sometimes[emoji16]
Niliandaa mlolongo wa kujibu swali la kwanza, ila nilipofika mbele ya panel nilijikuta nimejibu ambayo sikuyaandaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], Ngeli nilizomeza zilinisaliti.

Na hivi ndivyo nilivyojibu swali la kwanza ( Tell us about your life history, schools, college )

Nilianza kwa kutaja jina langu

Ikafuatia Taaluma yangu, Chuo nilipoisomea, mwaka wa kuanza na kuhitimu, Mahali nilipofanyia mafunzo kwa vitendo na muda wa kuanza na kumaliza, nikataja na mwaka niliposajiliwa na Board yetu ya kitaaluma.

Baada ya hapo nikataja Shule ya Advance na mwaka wa kuanza na kuhitimu.

Nikamalizia na kutaja shule ya Olevel na kutaja mwaka wa kuanza na kuhitimu.

Mwisho nikasema, hii ndio historia yangu fupi ya maisha yangu ya shule.

Wakaendelea kuniuliza maswali mengine.
 
Ni Chuo - secondary AU secondary-chuo
Nilifuata mlolongo wa kwenye CV( highest to lowest rank)

1. Chuo( hapa nilichomeka na masuala ya mafunzo kwa vitendo ambayo ni uzoefu pia)
2. Advance
3. Olevel.

Hata vyeti vyangu huwa napanga kwa mtiririko wa cheti nilichokipata currently hadi nilichokipata cha kwanza ambacho huwa naweka cha kuzaliwa.

Mlolongo huu niliona una msaada wa kutochanganya na unakuwezesha kuflow vizuri kwani unajua nikimaliza kutaja hiki kinafuatia kitu fulani ukilinganisha na kama ungekariri randomly.

Ndio maana ngeli nilizozimeza zilinisaliti na huu mlolongo ukaniokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…