smurof
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 103
- 293
You are smaaart 🫵🏼😄Nilifuata mlolongo wa kwenye CV( highest to lowest rank)
1. Chuo( hapa nilichomeka na masuala ya mafunzo kwa vitendo ambayo ni uzoefu pia)
2. Advance
3. Olevel.
Hata vyeti vyangu huwa napanga kwa mtiririko wa cheti nilichokipata currently hadi nilichokipata cha kwanza ambacho huwa naweka cha kuzaliwa.
Mlolongo huu niliona una msaada wa kutochanganya na unakuwezesha kuflow vizuri kwani unajua nikimaliza kutaja hiki kinafuatia kitu fulani ukilinganisha na kama ungekariri randomly.
Ndio maana ngeli nilizozimeza zilinisaliti na huu mlolongo ukaniokoa