Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Imagine katika watu 600+ walioitwa written Agricultural Officer grade 2 wameofika kwenye usaili wa kuandika ni 352 na wahaohitajika kazini ni 100, na wakichukua oral 300 kwa ratio ya 1:3 kazi nje nje. Mungu awatangulieWatu walirespond au mlikuwa wachache tu