kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
🙏Safari njema na hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Safari njema na hongera sana
Wewe utakuwa tamuuuuuwewe mzee tupo kwenye tasisi moja nimebadili ID tu Barua unafuata au unasubiri itumwe kwenye anwan
Kila la kheri[emoji120]
Hahahaaa,haulazi damu mkuu..Kesho asubuhi nitakua kwenye shabiby kuelekea Dodoma mkuu.
Ndo yale yale mkuu, sijui wanaogopa kitu gani wakati watu wapo humu wanahitaji mrejesho wao ili uwe hamasa kwa wengineHahahaaa, yale yale ya wizy eee.
Jana nimemuulizia sijaona response, hata wizy naye nilimuulizia hivi mwishowe akapotea akaja kivingine
Sustainable development [emoji16]Hii nayo nzuri kwa present and next generation pia
Wewe Mwifwa muda wote ulikuwa unakesha humu na kule web.. hizo habari za hukuwa na habari kivipi😁😁, pdf imetoka tu mara ukaleta ushuhuda wako hapa kufurahi.. hebu tuondolee unafiki wako hapa😂Mwenyewe nilikuwa sina habari kabisa siku hiyo na sikuingia humu kwa muda kama masaa kadhaa nyuma.
Nilipokuja kuwasha data nikaingia WhatsApp nikakuta jamaa kanitumia pdf na kunipongeza. Aisee Moyo ulilipuka sana nikiwa siamini kama, nikaidownload fast na kuifungua nihakikishe, nilipoona jina nilianza kutokwa machozi kabisa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Mwifwa muda wote ulikuwa unakesha humu na kule web.. hizo habari za hukuwa na habari kivipi[emoji16][emoji16], pdf imetoka tu mara ukaleta ushuhuda wako hapa kufurahi.. hebu tuondolee unafiki wako hapa[emoji23]
HahahahaaaKweli mkuu.
Siku nikienda kuchukuwa barua hiyo midundiko sio ya nchi hii dadeq[emoji16]
Huu mwezi hauishi lazima tufurahi wote humu Au nasema uongo ndugu zangu....!!!
Mkuu hongera sana, Naomba tu isiwe kama ile kamba ya TRA uliyotupanganga... Hongera sana.Kesho asubuhi nitakua kwenye shabiby kuelekea Dodoma mkuu.
Hahaha,..Mkuu hongera sana, Naomba tu isiwe kama ile kamba ya TRA uliyotupanganga... Hongera sana.
Niwie radhi kabisa mkuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unabeba mikoba ya kyagata ya kukasirika.
Web niliichungulia mida ya saa 1 nilikuja kuhabarishwa mida ya saa 4, kwa hiyo kuna interval ya masaa hapo ambapo sikuingia kwenye web
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa,haulazi damu mkuu..
Ila kuna kafeeling fulani kazuri ukiwa unapokea barua masijala ya nje kwa wakandaji[emoji3][emoji3][emoji3]
SaSA tutaishije bila kufanya ngonoKingine kama haujaoa ama kuwa mtu rasmi achana na habari za ngono zembe zimejaa mikosi sana, yaani hebu kipindi unaomba kaa mbali na hii kitu kabisa.
Hahahahaaa, sawa mkuu usijaliNiwie radhi kabisa mkuu,
yule jamaa huwezi nifananisha na mimi kabisa, me msikhara tu ndio yametaradadi hapa yaan Wala simaanishi kabisa kwenye hizi reactions
Anaongea tu hapo saivi, subiri aanze kushika vichenji atajikuta tu automatically, tena watamfuataSaSA tutaishije bila kufanya ngono