Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wewe Mwifwa muda wote ulikuwa unakesha humu na kule web.. hizo habari za hukuwa na habari kivipi😁😁, pdf imetoka tu mara ukaleta ushuhuda wako hapa kufurahi.. hebu tuondolee unafiki wako hapaπŸ˜‚
 
Wewe Mwifwa muda wote ulikuwa unakesha humu na kule web.. hizo habari za hukuwa na habari kivipi[emoji16][emoji16], pdf imetoka tu mara ukaleta ushuhuda wako hapa kufurahi.. hebu tuondolee unafiki wako hapa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Naona unabeba mikoba ya kyagata ya kukasirika.

Web niliichungulia mida ya saa 1 nilikuja kuhabarishwa mida ya saa 4, kwa hiyo kuna interval ya masaa hapo ambapo sikuingia kwenye web
 
Niwie radhi kabisa mkuu,
yule jamaa huwezi nifananisha na mimi kabisa, me msikhara tu ndio yametaradadi hapa yaan Wala simaanishi kabisa kwenye hizi reactions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…