[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hukufanikiwa kupita Ile written ya Maafisa Kilimo Mzee wa SUA Mazimbu ndanindani kwa Wakaburu.?😁MKANDO WA NIRC ORAL TUTAOMBA MREJESHO LEO TAR 4,,,,
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sisi sio leo mkuuKwani hukufanikiwa kupita Ile written ya Maafisa Kilimo Mzee wa SUA Mazimbu ndanindani kwa Wakaburu.?[emoji16]
Unataka kuituma wapi madam na unataka kutumia njia ipi? Whatsapp au emailKuna pdf ya waliotwa kazini utumishi sijuui namna ya kuituma
Nilitaka kuituma hapa ila Basi itakuwa wahusika washapata habari maana nimeiona tangu asubuhiUnataka kuituma wapi madam na unataka kutumia njia ipi? Whatsapp au email
Nilitaka kuituma hapa ila Basi itakuwa wahusika washapata habari maana nimeiona tangu asubuhi
Pole sana mkuu, mapambano yaendelee bila kukata tamaaHongereni mliopata wakuu.Mimi nimekosa placement ya HESLB.
Kazi njema Mungu awatangulie ktk majukumu yenu
Next time itakuwa wewe mkuu, usijali tuendelee kupambana.Hongereni mliopata wakuu.Mimi nimekosa placement ya HESLB.
Kazi njema Mungu awatangulie ktk majukumu yenu
Twambie status yako kwenye app ilikua inasomekaje wakati unasubiri placement tumalize utata mkuu.Hongereni mliopata wakuu.Mimi nimekosa placement ya HESLB.
Kazi njema Mungu awatangulie ktk majukumu yenu
Pia mimi naenda kesho nadhan jumatatu tutakutana kwenye majengo ya serikaliKesho asubuhi nitakua kwenye shabiby kuelekea Dodoma mkuu.
HapanaWewe utakuwa tamuuuuu
Na iwe kama ulivyonenaKweli mkuu.
Siku nikienda kuchukuwa barua hiyo midundiko sio ya nchi hii dadeq[emoji16]
Huu mwezi hauishi lazima tufurahi wote humu Au nasema uongo ndugu zangu....!!!
Amina asante sana mkuu, tuko pamoja sanaMe nawaombea nyote mtoboe najua one day mtaniita ni wawekee mifumo ya maji plumbing
Wakumuita kunguru wa manzese, now anakula dodo magereza.Hahahahahaa, yule jamaa ID yake sijui "nani wa Manzese" mbona alikuwa anaenda kuzichakata huku kesho yake anaamkia CIVE.
Alipata huko jeshini na hapa kashatoweka.
Suala la kujiepusha na hayo mambo ni muhimu sana
Ngoja nasi tusubiri umri ututupe mkono, miaka inavyoenda na neema inakaribiaAaaah humu watu wakipata basi wanapenda kujipakulia nyama utasikia niliwapelekea moto panel balaa, kumbe kapita kwa Sympathy ya Panel washaona kijna Umri unamtupa mkono na Maisha Hana,, hebu basi tumbless na hii job... Yanafanyika haya kabisa😁
Au nasema uongo ndugu zangu..?
Ngoja nasi tusubiri umri ututupe mkono, miaka inavyoenda na neema inakaribia