Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sio kwamba usifanye ila jitakase kipindi hiki unachotaka bahati, kwanza sali then tumia hata chumvi ya mawe kwa muda wote wa kabla interview hadi placement acha kabisa ngono, amini usiamini kuna mikosi sana humo.

Dadavua kidogo hapo kwenye chumvi ya mawe, unaitumiaje?.

Na je ni ipi nguvu inayopatikana ktk matumizi ya chumvi ya mawe?.
 
Ebana upo I.A.E?! HAHAHA!

Kuna Mama mmoja Librarian anaitwa "Teddy mndellah" unampata?!
 

Pia naamini hivyo mkuu,

Utumishi Kwa sasa issue za connection ni ndogo sana, ndio maana wengi wanapata Ajira na kushukuru kuwa hafahamiani na mkubwa yyte toka Serikalini.

Naamini ni suala la muda tu kuingia ktk pia la asali, muhimu ni kuweka jitihada na kuomba sana.
 
Kabisa kabisa mzee
 
Habari zenu wapambanaji wenzangu,mabibi na mabwana.Kwa wale mliobahatika kazi kupitia placement ya Jana,Hongereni sana nyote.Na kwa wale ambao hamkubahatika,tujue Wakati Bado, Mapambano yaendelee,Mungu wetu ni mwema sana......
Wale wenzangu na Mimi wa Kusubiri Placement, November, December,Nasi tuendelee kumuomba Mungu tukisubiri PDF,kama tutabahatika au Bado tutaendelea kusubiri.Uzuri tupo nao humu ndani
Sekretarieti ya Ajira na walituahidi Jana ya kuwa tuendelee kutembelea www.ajira.go.tz kwa ajili ya kutizama placements,kwani mwezi huu zitashushwa za kutosha, November na December mambo yatakuwa mazuri kwa waliofanya Oral....
Wale wa MDAs na LGAs nadhani muendelee kuvuta subira,matokeo Yenu yakiwa tayari mtaachiwa tu.Kikubwa ni kuombea kuwa kwenye mstari wa' SELECTED'...
Nawatakia weekend Njema nyote.
Mapambano yaendelee
Mungu wetu ni mwema sana.
 
Mkuu asante sana kwa motivesheni ila mkuu wewe unasubiria pacement ya nafasi gani?
 
Kwa hiyo ukiwa Umefanya Ngono ndy utaliwa kichwaaa achen hbr zenu .
Mkuu wewe wala haujalazimishwa endelea na utaratibu wako, lakini vitabu vyote vya dini vimeielezea zinaa na wala si uongo kama wewe ni muasherati basi jua unaondoa zile natural gift alizokupa Mungu utajiona kila wakati kama una gundu vile kumbe ulipaswa uchunguze njia zako, ila muhimu kumbuka nadharia hii haulazimishwi kuiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…