Habari zenu wapambanaji wenzangu,mabibi na mabwana.Kwa wale mliobahatika kazi kupitia placement ya Jana,Hongereni sana nyote.Na kwa wale ambao hamkubahatika,tujue Wakati Bado, Mapambano yaendelee,Mungu wetu ni mwema sana......
Wale wenzangu na Mimi wa Kusubiri Placement, November, December,Nasi tuendelee kumuomba Mungu tukisubiri PDF,kama tutabahatika au Bado tutaendelea kusubiri.Uzuri tupo nao humu ndani
Sekretarieti ya Ajira na walituahidi Jana ya kuwa tuendelee kutembelea
www.ajira.go.tz kwa ajili ya kutizama placements,kwani mwezi huu zitashushwa za kutosha, November na December mambo yatakuwa mazuri kwa waliofanya Oral....
Wale wa MDAs na LGAs nadhani muendelee kuvuta subira,matokeo Yenu yakiwa tayari mtaachiwa tu.Kikubwa ni kuombea kuwa kwenye mstari wa' SELECTED'...
Nawatakia weekend Njema nyote.
Mapambano yaendelee
Mungu wetu ni mwema sana.