duh tupe mrejesho wa statusTOKEA TUFANYE ORAL 17/5/2022 MPAKA LEO KIMYA....HATUFI HATUJINYONGI LAKINI CHAMOTO TUNAKIONA!
Taasisi gani hiyo Mkuu?TOKEA TUFANYE ORAL 17/5/2022 MPAKA LEO KIMYA....HATUFI HATUJINYONGI LAKINI CHAMOTO TUNAKIONA!
Swali gani hili mkuu, ikiwa wewe kutaja tu placement ya taasisi unayosubiri hutaki kutaja, heshimu "anonymity" yake mkuu.Taasisi gani hiyo Mkuu?
Bado ni vigumu sana make mara nyingi wanaomark practicals uwa ni walimu wa vyuo mfano mimi nikifanya practical ila udom lectures ndo walikua wanamark psrs na taasisi husika walikua kama observerssahili zenye practicals ndio kuna kubebana sana, wanaosaili usaili wa vitendo ni watu wa taasisi husika, pale kama mtu anamjua msailiwa anampa tu maksi mingi na kumbeba.
kwenye written naamin ndo hakuna kubebana ila practicals na oral baadhi ya taasisi zina beba watu wao .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mkuu mbona mimi niliweka wazi tayarii...Au hujafuatilia vyemaSwali gani hili mkuu, ikiwa wewe kutaja tu placement ya taasisi unayosubiri hutaki kutaja, heshimu "anonymity" yake mkuu.
Hahaha Mkuu mbona mimi niliweka wazi tayarii...Au hujafuatilia vyema
Mkuu si upotezee tu hio placement, naona kuifikiria ni kupoteza muda maana ni almost 9 months shtuka, fanya mambo mengine fanya interview zingine... Ikitoka majaliwa ispotoka unakua ushaisahau.TOKEA TUFANYE ORAL 17/5/2022 MPAKA LEO KIMYA....HATUFI HATUJINYONGI LAKINI CHAMOTO TUNAKIONA!
Siko katika mood hiyo, ninafikiri ni vema tukaliacha hilo kama lilivyo.
Hyo imeshatoka mkuu siku nying zimepita itakua mchakato ulifutwa may beTOKEA TUFANYE ORAL 17/5/2022 MPAKA LEO KIMYA....HATUFI HATUJINYONGI LAKINI CHAMOTO TUNAKIONA!
Daaah, we jamaa unajua mchakato wa ajira ulivyo mgumu? Af unasema nipotezee kirahisi tuMkuu si upotezee tu hio placement, naona kuifikiria ni kupoteza muda maana ni almost 9 months shtuka, fanya mambo mengine fanya interview zingine... Ikitoka majaliwa ispotoka unakua ushaisahau.
bda ndo maana vijana wa udom wanakula sn shavu la ajira aBado ni vigumu sana make mara nyingi wanaomark practicals uwa ni walimu wa vyuo mfano mimi nikifanya practical ila udom lectures ndo walikua wanamark psrs na taasisi husika walikua kama observers
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Imeisha hiyo👍Siko katika mood hiyo, ninafikiri ni vema tukaliacha hilo kama lilivyo.
Nawasilisha.
Daaah, we jamaa unajua mchakato wa ajira ulivyo mgumu? Af unasema nipotezee kirahisi tu
Sasa mzee utaishi kwa matumaini ya hio oral ya mwaka jana mwezi wa 5 mpaka lini? Fanya interview zingine ufike oral hata hio utaisahau... Af kingine kitu ukiwa na shauku nacho sana hukipati, ukiwa huna time nacho ndo utaona unakipata kirahisi tu.Daaah, we jamaa unajua mchakato wa ajira ulivyo mgumu? Af unasema nipotezee kirahisi tu
Kumbe watu washapangiwa kimya kimya af jamaa bado anasubiria tu hio placement.Inawezekana watu kupangiwa kazi Utumishi bila majina yao kuwekwa kwenye website sehemu ya placement, yaani kupangiwa kimya kimya?
Naomba niende direct kwenye point. Mimi ni mmojawapo niliefanya interview Wizara ya Ardhi kada ya Afisa Ardhi nikafika hadi oral, na nilikuwa miongoni mwa tunaosubiri placement maana tangu tufanye May pdf yetu ya placement haijawahi toka. Leo wakati nimejikalia zangu nikaona mdogo wangu...www.jamiiforums.com
Nataka ufafanuzi maana ni haki yangu kupata matokeo baada ya interview, aliyekuambia sifanyi interview nyingine ni nani? Unajua usumbufu na gharama za kufanya interview? Tunataka japo neno lolote kutoka psrsSasa mzee utaishi kwa matumaini ya hio oral ya mwaka jana mwezi wa 5 mpaka lini? Fanya interview zingine ufike oral hata hio utaisahau... Af kingine kitu ukiwa na shauku nacho sana hukipati, ukiwa huna time nacho ndo utaona unakipata kirahisi tu.
Huwez kua msomi Kama unaona sawa haki kuminywaKumbe watu washapangiwa kimya kimya af jamaa bado anasubiria tu hio placement.
Tembelea kwenye ofisi zao au uwapigie simu kuhusu ilo swala lako. Nilikua nakushauri tu, kama utaweza utauchukua ukishindwa endelea kusubiri hio placement.Nataka ufafanuzi maana ni haki yangu kupata matokeo baada ya interview, aliyekuambia sifanyi interview nyingine ni nani? Unajua usumbufu na gharama za kufanya interview? Tunataka japo neno lolote kutoka psrs