Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
[emoji23]Sawa mkuu wewe ndio msomi.Huwez kua msomi Kama unaona sawa haki kuminywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Sawa mkuu wewe ndio msomi.Huwez kua msomi Kama unaona sawa haki kuminywa
Nyie ukipita mwezi tu mnakuja huku kulia!Tembelea kwenye ofisi zao au uwapigie simu kuhusu ilo swala lako. Nilikua nakushauri tu, kama utaweza utauchukua ukishindwa endelea kusubiri hio placement.
Ajira ni mchakato...endlea kuvuta subra mkuuPlacements December 2022.
Placements 2023
Nakubali mwamba.Tuendelee kuvuta Subra nadhani February hii inaweza kutupa picha ya tulichopanda 2022.Tuombe Mungu iwe ndio Wakati wetu Sasa.Maana dah kitaa kwa moto.Yaaah wachache ndio tunaelewa hili, kikubwa ni subrah tu..
Hayo ni Siri kaka.Nadhani wao huwa wanaamua nani wamchukue.Kwani kwenye Oral ndio wanakuona bwana nanii unafananaje.Ki ufupi Oral ni kuomba Mungu tu.Wadau nani ana pdf ya muongozo wa Marks distribution kwenye Oral PSRS.. mtuwekee hapa
MmmhhhWadau nani ana pdf ya muongozo wa Marks distribution kwenye Oral PSRS.. mtuwekee hapa
Wewe katika wenye subra jiondoe [emoji23]Wadau nani ana pdf ya muongozo wa Marks distribution kwenye Oral PSRS.. mtuwekee hapa
Quote comment yangu ninayolilia placement hapa.Nyie ukipita mwezi tu mnakuja huku kulia!
Tuna takiwa kujua kwamba huu uzi upo kwa maslahi ya watu zaidi ya 1000+, comment za watu wachache au ushiriki wa watu wale wale kila mala haimaanishi kuwa yy ndio muhanga wa kusubiri placement la hasha ,ila ni njia pia ya kusaidia wengine wasio shiriki, isionekane kuwa baadhi ya watu ndio wenye shida sana na placement kuna watu tupo humu na tuna comment vile vile na hatusubiri placement ni vile tuu tunajaribu kuwatia wenzetu mioyo coz na cc tumeyapitia haya japo sio kwa uzi huuQuote comment yangu ninayolilia placement hapa.
Tarehe 5 so bado siku 3
Kweli lakini ukiwaza sana pia una pata mawazo sanaDaaah, we jamaa unajua mchakato wa ajira ulivyo mgumu? Af unasema nipotezee kirahisi tu
Hakutakiwa kusema nipotezee wakati imepita miez tisa bila placementKweli lakini ukiwaza sana pia una pata mawazo sana
Bado siku 3 za nn Mkuu?Tarehe 5 so bado siku 3
Kaka unachotakiwa kufanya ni vitendo, tembelea office zao itakua rahisi kupata majibu, ukiendelea kusuburi hivo hivo itapita miaka 10 unasubiri placement.Hakutakiwa kusema nipotezee wakati imepita miez tisa bila placement
Twinawe Alisema TRA placement zinatoka tarehe 9 kwa hiyo namkumbusha bado siku 3 tuBado siku 3 za nn Mkuu?