MrJobless
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,091
- 1,342
UmeelewekaKipimo kitakuwa ni tarehe 20 mwezi huu, wakivuka hawajatoa basi wataenda adi miez miwili, but kwenye hizi office za serikali hakuna office ambazo hazina uhitaji,karibu kila office ina uhitaji, wanacho angalia naisi mkubwa kiasi gani, kwa mfano ata UDSM anapost ambazo hazimalizi week 2 but pia ana post ambazo huwa zinachukua miezi miwili kutoka.