Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?


Hongera sana comrade kwaio qpo una subiri monthly salary na maperdiemπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha umavi pimbi wewe,wapi nimekuwa aggressive au hujui hata maana ya ulichokiandika?kusema maswali mnayouliza yanachekesha ndio kuwa aggressive?ningekua aggressive ningetoa my experience?
Sio lazima uniquote mimi,kuna watu wengi tu hapa jukwaani unaweza kudeal nao,sioni umuhimu wa wewe kila ninachokiandika ukifuatilie.
 
tatizo ni afya ya akili yako.
 
Mambo kama hayo ndio yanayofanya watu wengine tuupotezee huu uzi,ukitoa mawazo yako ambayo yako against na ya mwingine unaonekana uko aggressive. Mwisho wa siku tumeamua kuwaachia wenyewe waendelee kupeana comments wanazozitaka.
 
th
thanks mkuu,mkeka wa wizara huo ndio kwanza nimewagia hodi utumishi
 
Ulijitambulusha vipi mkuu paka kuambiwa hvyo?
 
Yote tutafakari humu lakini MUNGU ndo Kila kitu....Kila jambo tunalofanya na kukutana nalo tunapaswa kumshukuru MUNGU. Inawezekan ulijibu maswali yote vibaya lakini kwa msaada wake MUNGU ukafaulu. MUNGU akiona wakati wako imefika hakuna wa kuzuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…