Hizi zilizofanyika Next week au..?nextweek naona kabisa mkeka wa UDSM🙂
Nyie mnachokosea hamuweki na ushuhuda wa picha.. Mimi Jana niliweka zangu hapa Kila mtu akaona.. Kunena jambo fulani bila ushahidi ni UNAFIKI tena wa Hali ya juu hasa kwenye vitu muhimu kama hivi.Kwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa
Hiyo mkuu hata mi bado nataka kweli ushuhuda wake maana nami nina case kama hiyo kwangu
kama ukiomba Inakubali we omba tu,, kule hawaangalii kozi kwanza wasimamizi wengine hata majina ya kozi hawajui wanahitaji nyaraka zako muhimu tuHello guys..?
Hopes mko wazima, eti how comes kazi za PSRS wanataja relevant qualifications but tangazo la kazi halipo kwenye category yako?
Mfano hizi kazi za WCF wamezotoa wanahitaji Compliance Officer 2 wametaja kozi kama Economics, Marketing, Finance, Social Security Administration, Insurance,Business Administration na equivalent qualifications, je hapa Agricultural Economics hawezi kuomba? Na kama anaweza how maana kwenye category ambayo kozi ya Agricultural Economics inapatikana tangazo alipo.
Afuate ushauri huu, though jamaa pale wanapokagua vyeti huwa wanacheki na mahitaji ya tangazo katika kozi zilizoorozeshwa.Kama ukiomba
kama ukiomba Inakubali we omba tu,, kule hawaangalii kozi kwanza wasimamizi wengine hata majina ya kozi hawajui wanahitaji nyaraka zako muhimu tu
PDF ilivyotoka ilikuwaje kwa hao watuHii sio kweli kabisa....
Kuna Oral nilifanya 2020 ila kwenye app bado ni selected for null
Pia kuna watu waliwekewa Not selected for null baada ya oral tu, hapo hata pdf haijatoka.
WalikosaPDF ilivyotoka ilikuwaje kwa hao watu
Changamsha Thread 😂👍Naona mnajifariji sana wakuu na issue ya status, ila ukweli ni kuwa haina implication yoyote, kuna watu wakikaa wanakuja kwa gear ya status ili wasuuze nyoyo zao.
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38] Habari ya Dodoma mkuu..
Vip umeshachukua barua yako ya kazi?.
Masta msaada wa hizo status za app wengine tunaona nyota nyota tu
Mkuu hiivi MDA na LGA inakuwaje mkuuMajibu ya written kwa upande wa MDA & LAG wamegoma kutoa jamaa aisee
Mimi binafsi nishaamua kuachana nayo, yaani kama tunasubiri matokeo ya form four sasa!, tuendelee tu na michakato mingine wakuu hii MDAs na LGAs siku watakayoamua kutoa matokeo tutayapokea.Mkuu hiivi MDA na LGA inakuwaje mkuu
Kwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo
Chek status tena masta😇Kwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa
AmenKumekucha siku nyingine ya mapambano
Kuna kada kadhaa za sheria wametoa placements zake siku chache zilizopita, vipi tumebahatika kuwamo kwenye huo mkeka Nana (Kiswahili cha Madam ni Nana, tunakuza Ulumbi)Aisee message ni nyingi sana, hongera sana wote mliopata kazi. Mungu akawaongoze.
Pia wale waliokosa msikate tamaa, siku yenu ipo, always Mungu ni mwema[emoji1431]
Lazima watu waitwe mzee,zile za MDA na LGA zilitangazwa since May 2022 ila walifanya last month.so ni suala la kuendelea kusikilizia tu.Habar zenu wenzangu tunaotafta ajira.
nlikuw nina swali , kuna post bado zipo received tokea mwezi wa sita mwaka jana 2022. je ndo imetoka au wanaweza itisha usaili ? mwenye shuhuda aseme