Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri katika ufyondhaji wa mrija wa asali mkuu!!!Ila maswali mnayouliza jamani,wakati mwingine mtu unakaa unacheka tu..sasa mtu utajuaje kuwa mood flani ya mtu ina maana flani?hamna hata uzoefu wa interview za private sector wakuu?kwa mtazamo wangu wewe ukishapiga interview zao kausha endelea na harakati zingine za maisha,usijipe matumaini kivile wala usijione umejibu vibaya maswali yao.
Mimi interview ya heslb kuna swali niliambiwa nitaje point tano but me nikataja 3 tu na kuzielezea vizuri na aliyeniuliza lile swali akanikazia kuwa I need 5 points me nikamjibu that is what i have in my mind regarding your question Sir nikaishia hapo,ila nimefaulu.
Huyu dingi ane signs amebeba hisia za watu wengi sanaIshu ya kusign naona ndio inachelewesha, nawaza hivi lakini
Wapi mkuu?PSRS wametangaza Kazi za Workers Compensation Fund (WCF)
PSRS wametangaza Kazi za Workers Compensation Fund (WCF)
Zipo huku mkuuWapi mkuu?
Hahaaa bado tunazoea mazingiraAhmet utakua umeshaanza kula hela za supplementary!
mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.mkuu nimejikuta nimekua mdau wa huu uzi, hio post niliopiga juzi nami nina selected for null kwenye app yao, ngoja tuone wataamua nn ama nitalamba asali
UmetishaZipo huku mkuu
pamoja lutenimkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
je kwa aliopo database ila hakubahatika kuwepo kwenye pdf status yake kwenye app inasomaje ?mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
not selected for nullje kwa aliopo database ila hakubahatika kuwepo kwenye pdf status yake kwenye app inasomaje ?
kuna wale wa selected for oral kwenye web halaf not selected for null kwenye app
Pengine ana mtu wake mkuu, pia mtandaoni inabid uwe smart sna wanao fake ni percent kubwa sna.
Kwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa5 . [emoji736] status za selected for oral kwenye web, na selected for null kwenye app.
[emoji736]kuna wale wa selected fo oral kwenye web, halafu (selected for practical, selected for oral , selected for null) kwenye app zikibadilika badilika.
[emoji3586]kuna wale wa selected for oral kwenye web halaf not selected for null kwenye app
[emoji3586]kuna wale wa selected for oral kwenye web halafu (selected for practical, selected for oral) zikibadika kwa kupeana zamu.
Aseeee.... ni balaa nzitoooo
Hiyo mkuu hata mi bado nataka kweli ushuhuda wake maana nami nina case kama hiyo kwanguHii sijawahi kusikia ushuhuda wake.
Kwenye App ikiwa "NOT SELECTED FOR Null" hapo ni baba Jeni bye byeKwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa
Shuhuda zilishatolewa sana humuHii sijawahi kusikia ushuhuda wake.
Hii sio kweli kabisa....mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
PDF ndio msemakweli, status zitakuvuruga tuu kichwa. Wapo wenye Selected for null baada ya oral mwaka wa pili sasa tupo nao kitaaKwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa