Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila maswali mnayouliza jamani,wakati mwingine mtu unakaa unacheka tu..sasa mtu utajuaje kuwa mood flani ya mtu ina maana flani?hamna hata uzoefu wa interview za private sector wakuu?kwa mtazamo wangu wewe ukishapiga interview zao kausha endelea na harakati zingine za maisha,usijipe matumaini kivile wala usijione umejibu vibaya maswali yao.
Mimi interview ya heslb kuna swali niliambiwa nitaje point tano but me nikataja 3 tu na kuzielezea vizuri na aliyeniuliza lile swali akanikazia kuwa I need 5 points me nikamjibu that is what i have in my mind regarding your question Sir nikaishia hapo,ila nimefaulu.
Kila la kheri katika ufyondhaji wa mrija wa asali mkuu!!!

Umesharipoti job mkuu?
 

Attachments

  • Screenshot_20230206-183019.jpg
    Screenshot_20230206-183019.jpg
    120.7 KB · Views: 10
mkuu nimejikuta nimekua mdau wa huu uzi, hio post niliopiga juzi nami nina selected for null kwenye app yao, ngoja tuone wataamua nn ama nitalamba asali
mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
 
Pengine ana mtu wake mkuu, pia mtandaoni inabid uwe smart sna wanao fake ni percent kubwa sna.

5 . [emoji736] status za selected for oral kwenye web, na selected for null kwenye app.

[emoji736]kuna wale wa selected fo oral kwenye web, halafu (selected for practical, selected for oral , selected for null) kwenye app zikibadilika badilika.

[emoji3586]kuna wale wa selected for oral kwenye web halaf not selected for null kwenye app

[emoji3586]kuna wale wa selected for oral kwenye web halafu (selected for practical, selected for oral) zikibadika kwa kupeana zamu.

Aseeee.... ni balaa nzitoooo
Kwa hiyo kama me nasubiri placement za TRA ktk website inasoma SELECTED FOR ORAL ktk app inasoma NOT SELECTED FOR NULL kwa hiyo apo tayar nimekandwa
 
Hello guys..?

Hopes mko wazima, eti how comes kazi za PSRS wanataja relevant qualifications but tangazo la kazi halipo kwenye category yako?

Mfano hizi kazi za WCF wamezotoa wanahitaji Compliance Officer 2 wametaja kozi kama Economics, Marketing, Finance, Social Security Administration, Insurance,Business Administration na equivalent qualifications, je hapa Agricultural Economics hawezi kuomba? Na kama anaweza how maana kwenye category ambayo kozi ya Agricultural Economics inapatikana tangazo alipo.
 
mkuu nimejaribu kupitia pitia selected for null ipo kwa wote walioattend interview ila pdf ikitoka baada ya mda utakuta not selected for null kama jina halikubahatika kuingia kwenye list.
Hii sio kweli kabisa....

Kuna Oral nilifanya 2020 ila kwenye app bado ni selected for null

Pia kuna watu waliwekewa Not selected for null baada ya oral tu, hapo hata pdf haijatoka.
 
Back
Top Bottom