Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

SIjui wametusikia mimi kuna moja nilifanya mwaka jana mwezi wa katikati ikawa NOT SELECTED FOR null ila leo naona ipo SELECTED FOR ORAL interview... naona status tuziache tu isubiriwe PDF
Wanazoom maongezi[emoji23]

Ile ya 2020 iliyokua Selected for Null sasa kwenye status haioneshi kitu, hii ya 2022 wameweka Selected for Practical (kulikua hakuna usaili wa Practical)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana kabisa au

Au ndio anapiga za wanachuo.

Nataka kusaka mrija mpya wa asali.

Huu nilionao naona asali yake imechakachuliaa asali ya sukari guru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…