HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji28][emoji119]
 
Hahah inabidi utumishi wawe wanaandaa kwanza semina kama wanavyofanyaga kabla hujapewa majibu ya ukimwi asee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
ukimwi wenyewe kama ukofiti hupewi semina, unambiwa ukofiti endelea kuepuka ngono zembe,njoo upime tena after six month, watu tuna vibe coz ajira ni maisha mkuu. na kitaa hali ni mbaya sana
 
Achaneni na status mtakufa kwa presha. Usaili nilianzia Oral ila status zinabadilika Kila uchao kama hivi
1. Shortlisted for oral
2. Selected for null
3.
4. Selected for Oral
Majibu ya placement yamekaribia kuna uwezekano mkubwa pdf ijayo ikajumuisha interview mliyoifanya kaa kwa kutulia na kama kwenye application inaandika selected for Null huenda Mungu akawa upande wako. Maana wengi walioandikiwa selected for Null wamechukuliwa ni wachache wameachwa kutokana na ufinyu wa nafasi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…