HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Selected for null inanguvu kuliko selected for O

Selected for null inanguvu kuliko selected for Oral? ABIUD MICHAEL 0502
Selected for oral inanguvu zaidi hasa ya website maana inakupa foresight ya interview (selected for null ya application ni moderator wa kile ulichokifanya oral interview maana inakutia moyo kabla placement haijawekwa hadharani) kwahiyo kuwa mpole yote kwa yote muombe sana Mungu wako kwa imani yako
 
Hapa ss ndy vuta nikivute inafata Mwanzo ilikuwa Selected for Null - Selected for Practical - Selected for - Null - Selected for Practical

Ngoja Kwanza niche ss Unaweza shanga ulikuwa Selected for null ukarukia Not Selected for null
 
Yaa
Hao ICT officers wana maana yao....app inakuonesha kabisa kuwa haukuchaguliwa kwenda oral...inaandika NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.

Ukienda Oral kuna watu wameandikuwa NOT SELECTED FOR NULL ya rangi nyekundu. Hizi mambo lazima zina maana, sasa kama umefanya oral kwanini uandikiwe NOT SELECTED FOR NULL? It must have a meaning..sema tunaamua kuachana nazo na kujipa matumaini.
Yaaap mkuu tena hapa Mimi nakuuonga mkono.
Kitu Cha kufahamu watu ni kuwa, naandika kwa herufi kubwa hapa kuweka msisitizo.
UKIFANYA WRITTEN INTERVIEW UKAFELI KWENYE APP INAANDIKA SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.
UKIFANYA ORAL UKAFELI, APP INAANDIKA NOT SELECTED FOR NULL.
hvyo kama wadau wametuma Not selected for null basi ni 100% muhusika alienda oral interview.

Nimemaliza
 
Hao ICT officers wana maana yao....app inakuonesha kabisa kuwa haukuchaguliwa kwenda oral...inaandika NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.

Ukienda Oral kuna watu wameandikuwa NOT SELECTED FOR NULL ya rangi nyekundu. Hizi mambo lazima zina maana, sasa kama umefanya oral kwanini uandikiwe NOT SELECTED FOR NULL? It must have a meaning..sema tunaamua kuachana nazo na kujipa matumaini.
Sio guarantee kuwa ukiandikiwa selected for null (green label) kuwa lazima umepata kazi watu wapo wameandikiwa hivo na hawakupata kazi, nafasi zile za airport security officer II ninao ushahidi watu walijiandaa kabisa kwenda Dodoma na kujipa moyo lakini PDF imetoka,,, Hollaaaah!! 😭
 
Sawa kama ni hivyo lakini bado ina maana kwetu. Ina maana mpaka naandikiwa (japo ni kimakosa) kwenda practical means hatua ya oral nimefanya vizuri kiasi cha kuniwezesha kwenda hatua inayofuata. Naamini kuna ambao hawapiti kwenda hatua ya practical
Bado unachanga madesa.

Hatujawahi kuilalamikia status kwa hatua mbili za usahili.

1. Written Interview
Hapa kwenye status tunapata namba ya written

2. Majibu ya Written kwenda Practical au Oral
Status inatoa majibu kama selected for Practical/Oral or Not Selected for Practical/Oral. Haya majibu huwa ni kweli

Kwa mtu ambaye Usahili wake una hatua tatu,status itampa jibu la kwenda Practical, akifaulu Practical anapewa jibu la kwenda Oral.

Kama mtu usahili wake una hatua mbili, jibu la kwenda Oral atalipata kupitia Status.

Baadae ndio majibu hutolewa kwa PDF yakionesha alama watu walizopata.

Sasa wewe unasema umeambiwa mtu akifaulu Oral na akiandikiwa Selected for Practical ndio aenda kwenye training kabla ya kuanza kazi, hili jipya na sijawahi kulisikia na sidhani kama lipo.

Ikumbwe kuwa, training ni jukumu la mwajiri akishapokea watu wake kutoka PSRS ndio atawafanyia training kulingana na majukumu yao watakayoyafanya, na waajiri wote sidhani kama wana training kabla ya kuanza kazi
 
Selected for oral inanguvu zaidi hasa ya website maana inakupa foresight ya interview (selected for null ya application ni moderator wa kile ulichokifanya oral interview maana inakutia moyo kabla placement haijawekwa hadharani) kwahiyo kuwa mpole yote kwa yote muombe sana Mungu wako kwa imani yako
Ndani ya siku 7 status imepitia stage hizo 4
 
Sio guarantee kuwa ukiandikiwa selected for null (green label) kuwa lazima umepata kazi watu wapo wameandikiwa hivo na hawakupata kazi, nafasi zile za airport security officer II ninao ushahidi watu walijiandaa kabisa kwenda Dodoma na kujipa moyo lakini PDF imetoka,,, Hollaaaah!! 😭
Na selected for oral je wanaweza kukosa kazi?
 
Back
Top Bottom