HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nyie wenye Selected for Practical mtulie!!

Ss tuwaite watu walio na Selected for nyingne nje ya neno Practical waje tuwaone Unaweza Jifariji kumbe nyote inasoma Neno ilo ilo?!

Selected for ............. Nje na Practical Karibuni kutoa Ushuhuda Jamvini.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Big point mkuu. Ila tatizo hakuna kitu kigumu ku control kama emotion kwa baadhi yetu.
 
ndo umeitwa ukafanye iyo practical, best wishes
 
anakuwa kama Tanesco[emoji23]
 
JF wameamua kuupeleka uzi to extra miles, wameupost kwenye Channel ya Telegram, nina imani watakuwa wamepost pia kwenye mitandao mingine.View attachment 2512609
Likifika VIRAL huenda tume ya Ajira na utumishi kwa Umma wakarekebisha suala la kuchelewesha sana kuita watu kazini ili kudumisha amani mioyoni mwa ma-jobseeker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…