Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Tusubiri Ngoswe amalize kazi kwanzaKwani ndiyo placements ndiyo imegoma kutoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri Ngoswe amalize kazi kwanzaKwani ndiyo placements ndiyo imegoma kutoka
Eeh mkuu tuko pamoja hii ni changamoto tunatumia mfumo tunaelewa shughuli yakeHii imeniitokea mimi, Kwa kifupi Mimi na apply za degree tuu,zile za diploma system haitaki kukubali kuomba..
KabisaEeh mkuu tuko pamoja hii ni changamoto tunatumia mfumo tunaelewa shughuli yake
Siio saws maana Mara nyingi watu we cheti bdo wapo chuo na serikali imebase kuajir nta level 5 level 6 mara chache sans hawa ndiiio diplomaKwa kifupi si sawa ,kwani si nina ujuzi husika ,Kwa nini mnibanie,kisa Nina level ya juu...
Yan c umeona zile za tra sifa unazo kabsa mfumo unashindwa kuchukua chet husika kama mbadala tofaut ns apo awaliKabisa
Pole kijana subiria hzo za level ambazo mfumo utakukubali maana huwezi kubishana na mfumo,,, ushakukataa huo na huwezi kufuta cheti yoyoteYa
Yan c umeona zile za tra sifa unazo kabsa mfumo unashindwa kuchukua chet husika kama mbadala tofaut ns apo awali
Ninavyoelewa ni kuwa serikali wanaajiri kulingana na kiwango chako cha juu cha elimu. Kwa wanaopitia Certificate hadi Degree wataajiriwa kwa Degree, level za chini zitakuwa unapplicable ndio maana hata kwenye portal unakataliwa kuomba nafasi kwa kutumia level ya chini ya elimu.Pole kijana subiria hzo za level ambazo mfumo utakukubali maana huwezi kubishana na mfumo,,, ushakukataa huo na huwezi kufuta cheti yoyote
Ndio kilicho baki mzee babaPole kijana subiria hzo za level ambazo mfumo utakukubali maana huwezi kubishana na mfumo,,, ushakukataa huo na huwezi kufuta cheti yoyote
umeongeea point kubwaa mkuuNinavyoelewa ni kuwa serikali wanaajiri kulingana na kiwango chako cha juu cha elimu. Kwa wanaopitia Certificate hadi Degree wataajiriwa kwa Degree, level za chini zitakuwa unapplicable ndio maana hata kwenye portal unakataliwa kuomba nafasi kwa kutumia level ya chini ya elimu.
Hili wameweza kulizuia kwa kutoruhusu kufuta sehemu ya Academic qualification, wangeruhusu hili waliopitia certificate wangeleta vurugu sana kwa kufuta futa kila kukicha kulingana na nafasi wanazoziona.
Imagine imetangazwa nafasi yenye kuhitaji Degree ukaapply baadae ikatangazwa yenye kuhitaji Diploma ukaamua kufuta degree ili ibaki Diploma na uweze kuapply hiyo. Kwenye portal itaonekana kiwango chako ni Diploma halafu ile nafasi ya mwanzo ulioapply kwa kutumia Degree kabla hujaifuta unakuwa disqualified. Cycle itakuwa inaenda hivyo hivyo kila ukifuta level fulani ya elimu na inakuwa usumbusu kwa PSRS
Ndugu mfumo wa portal unakuforce itumie sifa Moja tu basi,Kama unacertifacte unaweza Uka upadte ukaomba Kazi ya diploma, vilevile kama una diploma Unaweza Uka add cheti Cha degree na ukaaply Kazi husika.lkn ukishafika hapo hutakuwa na uwezo Tena wa kuapply Kazi chini ya degree. Hivyo lazima ujue wapi unataka. Zaman iliwezekana lkn Sio Sasa.kila la kheriUmeshatumia portal hii ni changamoto kwa wengi huwez omba lazma job fail kaz inataka certificate nawe una diploma vyote vipo mfumo unakataa wakat ilibidi uchukue mfumo cheti kinacho takiwa mfano huwa wanaweka FTC/diploma ila bdo itagoma as cjui kwann
Mkuu sawa saili wana andaa Chuo lakini kila kitu kipo under Utumishi.Nimekuja kufaham vyuo vingi vilitumia portal ya ajira Kwa ajili ya WaTu kupata platform ya kuapply Kazi,lkn saili Wanaandaa wenyewe hivyo portal imewasaidia ku shortlist tu..hivyo vijana kuwen wavumilivu tu, Kwan Huko Huwa kunakua na vimlolongo flan HIV virefu.must washaita, SUA wamefuata, nadhan wengine watafuta endelen kujiandaa. Usisubir watoe pdf ndo ushike daftar
SAWA SAWA endelea kupambna nduguMkuu sawa saili wana andaa Chuo lakini kila kitu kipo under Utumishi.
nilifanyaga WRITTEN pale Open UNIVERSITY majuzi
Crew ya UTUMISHI ilikuja ya kutosha kufanya ukaguzi wa vyeti na mtihani.
Mkuu hii Suala la kujiandaa kabla hata ya kuona shortlisted ni kamari, PSRS ya Sasa sio kama ya zamani kabisa, Sasa wamekuwa na sababu nyingi mno zinazosababisha watu kutokuwa shortlisted, unaweza kuambiwa hujaweka nukta mwisho wa barua yako na sababu ndogondogo kama hizo zisizo na vichwa wala miguu. Kwahyo me kiupande wangu nawashauri Wajubah wenzangu wasisome wafanye mambo zao za kupata pesa Mtaani, habari ya kusoma wakati hujawa shortlisted hyo ni zaidi ya kamari. Subiri uwe shortlisted then unajifungia ndani siku 3 zinatosha sana kwa msuli wa kiume, Mimi na washikaji zangu tumetusua vizur kwa msuli wa ZIMA MOTO tukiwa chuo.Mkuu sawa saili wana andaa Chuo lakini kila kitu kipo under Utumishi.
nilifanyaga WRITTEN pale Open UNIVERSITY majuzi
Crew ya UTUMISHI ilikuja ya kutosha kufanya ukaguzi wa vyeti na mtihani.
Naona kuanzia Alhamidi Ma PDF yataanza angukaZimwi na Sensa ndio linapita hivyo, tutarajie kupata maPdf kuanzia kesho na kuendelea
Uliomba ipi?Mbona account za ajira portal zinayumba mara selected for interview
Tulifanya mtihani wa oral tu mwezi wa 6 jana wameweka selected for interviewUliomba ipi?
Umepita itakuaTulifanya mtihani wa oral tu mwezi wa 6 jana wameweka selected for interview