Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sahihi tuwaombee kheri ndugu zetu wakafanye vyema katika saili zao
Hivi Kuna uingiliano wa kazi kati ya Tanzania bara na Zanzibar nikiwa na maana hizi kazi zinazotangazwa na watu wa Zanzibar wanatuma maombi na kuja dodoma na huko Zanzibar wanatangaza kazi au zote zinatoka Huku na Kama huko Kuna kazi niambieni niombee na huko wakuu mataani sio poa
 
Yaan nafasi za kazi wanazogombania watu Bungeni ni 6, watu wapo 2455+..
Wanaotakiwa kuingia Oral interview ni 18.. kukitokea na factor ya Marks basi hawatozidi 20.. inamaana 2400+ wameenda kuzurura 😂😂😂😂Nchi ngumu sana hiii.

Ila msikate tamaa Mabaharia 🙏🙏
 
Halafu Hivi Pepa zote Huwa hazizidi dakika 40 or Kuna zile za kuzidi hapo ? Namaanisha written interviews zote zinazofanyika utumishi/Dodoma na zile zinazofanyika Taasisi husika e.g za Tutorial Assistants
Zipo Kada ya IT Kama mtihani ya ma software developer
 
Leteni maswali basi tuoneee
Ilikuwa multiple choice maswali ya bungen, na matching items maswali ya bungeni. Maswali ninayoweza kukumbuka ambayo ni out of bungeni ni kuhusu nchi zilizopo united kingdom ni ngap, resolutions za UN ni ngapi hapa nimesahau swal exactly ila ulitakiwa kusema idadi ambapo ni multiple choice, kucompare How the parliament of commons ya UK ilimtreat Borris kwenye issue za Corona na the way Lowassa alikuwa treated kwenye Richmond scandal, hapa pia kuna multiple choice za kuchanganya, halafu kuandika short notes on what the government of Tanzania should do ili kubenefit from increase of population, duties the clerk should do kupromote welfare of the people, lingine lilikuwa statement inasema Tanzania imejidevote kuwa superpower kwenye kusupply electricity among East African Countries, discuss

Mengine sikumbuki wadau, ila kiujumla yalikuwa maswali 17, section A unajibu 6 kati ya 12, section B tuseme no 13 unajibu lote, section C unajibu matatu kati ya manne
 
Back
Top Bottom