Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kabisa utumishi ukiacha tu swali hawawezi kukuchua wale
Huko kwenu sekta ya afya,. Huku kwetu changanyikeni ni purukushani tupu, muulizeni Kyagata na ile pepa ya katibu msaidizi wa bunge, ilionekana rahisi, watu walimaliza mwaswali yote, still highest ikawa 60+ kati ya candidet 1000+, walipita 32 tu, wengine wakaliwa vichwaaaa,.
 
😂😂😂😂😂Nacheka kama mazuri lakini poleni wakuu
 
Back
Top Bottom