Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Baadhi ya vyuo vimeshapata wakufunzi, na hatimaye wanarudia tena kutangaza upya kwenye zile nafasi ambazo hawakupata watu.Naona wameweka Tangazo la kazi la NIT.. nafasi zinatangazwa upya.. Ila Leo wadau tusichoke kufikia jioni mpaka usiku kitaeleweka tu maana washaanza kustua mitambo Mchana huu
Wakati huo huo, vyuo vingine bado hata hawajaita interview ya mara ya kwanza, na wakati huo tarehe za kufungua vyuo zimekaribia.
Hii nchi unaweza ukaletewa MBOLEA wakati wewe ndio UNAVUNA.