Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless wenzangu nauliz what are you doing for living?
Watu wengi sio kwamba hawana kazi ila hawajaajiriwa tu au hawana ajira za kudumu / (They are unemployed but they have job [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])

#Tatizo job security, working condition, good wages, NSSSF na Bima ya Afya makes suffering [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#NATANIA

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂Hiyo natania ifute ndo ukweli wenyewe huo
 
Watu wengi sio kwamba hawana kazi ila hawajaajiriwa tu au hawana ajira za kudumu / (They are unemployed but they have job [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])

#Tatizo job security, working condition, good wages, NSSSF na Bima ya Afya makes suffering [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#NATANIA

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hujatania mkuu, huu ndio ukweli wenyewe.
 
Ikawa asubuhi ,ikawa mchana na sasa ni usiku utumishi wapo kimya umuhimu wakuwa na suti upo wapi?umuhimu wakuwa na degree upo wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku imesindikizwa na kale kashortlist cha MUCE.

Tusubiri kesho, mtabiri wa jobless alisema J4 ni siku ya mikeka kutolewa
 
b
Jobless wenzangu nauliz what are you doing for living?
bonge la topic man maana kitaa hakukaliki. Nishajiendeaga hadi machimboni chunya lkn bdo life halijanipa haueni .nikarudi bongo dili la usimamiz wa sensa kidogo likanipa unafuu Nakumiliki geto la ngwea.Nimejaribu kulizia mishe viwandani malipo mengi ya kimagushi mno 5k per day. Kubeti sitamani coz nafahamu bet zilivoteketeza boom langu. Huwa na waza sana hzi trip Domu za usaili jobles ambae hauna mishe uta afford vipi. Ama nauli mnaomba skani nini? Tupeni ramani wazee mnapunguzaje ukali wa maisha huku kitaani jobless wenzangu?
 
Back
Top Bottom