Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tatizo ni centralization of hiring process, each GOV. entity should recruit themselves instead of centralised system where corruption could take its toll. Sijui tulikosea wapi, nafasi zilishajazwa siku nyingi hata kabla ya interview yenyewe kuna shida kubwa hapa.
 
Wanawake wa hivi huwa wanatengewa bajeti, let us say laki tano kuanzia kukutana naye mpaka siku ya tukio, pesa ikiisha na mahusiano yameisha. Labda atumie pesa yake kuyaendesha, tofauti na hapo biashara imekwisha.
😂😂😂😂Hahhhh unamuwekea bajet yake maalum ya trab na trat ikiisha tu na lake limeisha
 
Imagine hadi Avatar zinazimikiwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hayaa Mr umeulizia sana hii Account.. hiyo apo imepigwaa Ban toka July... Kuna watu wameni Report.
IMG_20221101_094951_1.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walikupiga ban kisa nini mkuu au utumishi waliona wakureport kwakuanzisha thread hii?
Kwanza Huu Uzi natamanigi niufutee [emoji28][emoji28][emoji28]
sema ndio haiwezekaniii.
Maana shda yangu ilikuwaga maswala ya Placement..
kujuuua utaratibu ukooje.
sasa nikashangaaa uzi kila cku watu wanaufany kuwa active..
mmefny ki Account chang kikasepaaa....
Any nahope kuna watu umewasaidiiiia.....
 
😂😂😂😂Hahhhh kweli umesaidia wengi humu na ni endelevu huu tutapata kazi tutauacha nikama uwe wakula kimasihara
 
Kwanza Huu Uzi natamanigi niufutee [emoji28][emoji28][emoji28]
sema ndio haiwezekaniii.
Maana shda yangu ilikuwaga maswala ya Placement..
kujuuua utaratibu ukooje.
sasa nikashangaaa uzi kila cku watu wanaufany kuwa active..
mmefny ki Account chang kikasepaaa....
Any nahope kuna watu umewasaidiiiia.....
Ulishapata placement?
 
Tatizo ni centralization of hiring process, each GOV. entity should recruit themselves instead of centralised system where corruption could take its toll. Sijui tulikosea wapi, nafasi zilishajazwa siku nyingi hata kabla ya interview yenyewe kuna shida kubwa hapa.
Tutarudi tulikotoka kuwekana ndugu na rushwa
 
Kwanza Huu Uzi natamanigi niufutee [emoji28][emoji28][emoji28]
sema ndio haiwezekaniii.
Maana shda yangu ilikuwaga maswala ya Placement..
kujuuua utaratibu ukooje.
sasa nikashangaaa uzi kila cku watu wanaufany kuwa active..
mmefny ki Account chang kikasepaaa....
Any nahope kuna watu umewasaidiiiia.....
Endelea kula asali huko kazini mkuuu🤣🤣
 
Back
Top Bottom