Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Nahisi harufu ya PDF jamani, Kuna bomu litapigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio utajua uchawi upo... mwanzo ulifika hadi Oral lakini sasa umekosa sifa.Hahahahahaaa
All the bestTarehe 2 ndio leo, mbivu na mbichi za kurudi Dom zinajulikana.
Wenzangu na mimi tuendelee kukomaa kitaa , ratiba ya sasa imetuepusha na hasara ukilinganisha na ratiba zilizopita
PDF za matokeo zinaanza kumwagika leo, za placements subira iendeleeNahisi harufu ya PDF jamani, Kuna bomu litapigwa
Hapo wanahiepusha na kupoteza muda wa kukuita tena ilihali ushakandwa tangu mwanzo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndio utajua uchawi upo... mwanzo ulifika hadi Oral lakini sasa umekosa sifa.
Unamtakia kheri Ngamia apite kwenye tundu la Sindano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]All the best
😂😂😂😂Hahhhh daaaah sema utumishi wazinguaji sanaNa ukawa haupo shortlisted kwa kuambiwa huja attach Birth Certificate. Aloo!
PDF za matokeo zinaanza kumwagika leo, za placements subira iendelee
Kweli muda mrefu aiseeMungu atufanyie wepesi lini wanatoa PDF ya MDAs and LGAs tukajue moja dah tumechoka kusubili toka mwezi wa tano.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Waachie tu zote ,nyie mnaenda oral wengine kuchukua baruaPDF za matokeo zinaanza kumwagika leo, za placements subira iendelee
Mungu mwema bro,unatoboaTarehe 2 ndio leo, mbivu na mbichi za kurudi Dom zinajulikana.
Wenzangu na mimi tuendelee kukomaa kitaa , ratiba ya sasa imetuepusha na hasara ukilinganisha na ratiba zilizopita
Usikate tamaaUnamtakia kheri Ngamia apite kwenye tundu la Sindano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo ni matumizi mabaya ya kutakia kheri
Hizo placements bado sana, subira iendeleeWaachie tu zote ,nyie mnaenda oral wengine kuchukua barua
Ni vigumu sana mkuuMungu mwema bro,unatoboa
Placement ni mwezi ujaoHizo placements bado sana, subira iendelee
Vp mkuu huamini ktk uwezo wa mungu🤣Ni vigumu sana mkuu
Unamtakia kheri Ngamia apite kwenye tundu la Sindano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo ni matumizi mabaya ya kutakia kheri
😂😂😂😂Hahhhhh daaahHahaha, Mkuu kitendo cha kuwa ngamia tu sio kitu kidogo.