😂😂😂😂Huamini kiongozi??me nakwambia kama hakuna shortlisted ujue amekandwa huko🤣🤣 ah hizo status mi naona hazina uhalisia wowote hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Huamini kiongozi??me nakwambia kama hakuna shortlisted ujue amekandwa huko🤣🤣 ah hizo status mi naona hazina uhalisia wowote hahaha
Yapi tena??Nawaambia hivi matokeo ya mliofanya interview yatatoka tarehe 4🤣🤣🤣
Hakuna hiyo kitu mkuu😂😂😂😂Huamini kiongozi??me nakwambia kama hakuna shortlisted ujue amekandwa huko
Aje meck pro atoe ushuhuda tena hpa😂😂😂😂Huamini kiongozi??me nakwambia kama hakuna shortlisted ujue amekandwa huko
Bora umetusaida bro kukata utata 🤣Hakuna hiyo kitu mkuu
😂😂😂😂Ngoja mkeka utoke utakuja kuniambia mkuuHakuna hiyo kitu mkuu
🤣🤣🤣🤣 Ngoja tuone😂😂😂😂Ngoja mkeka utoke utakuja kuniambia mkuu
Unajua kwanini nakwambia hivi kipindi cha mwanzo zilivyokuwa shortlisted wale wa IT zilibaki vile vile selected lakini asaivi hata wa IT zimechangeBora umetusaida bro kukata utata 🤣
Itakuwa usiku mnenePDF ya NAOT vipi ?Au ndo usiku mnene wanatoa?
Sio kweliUnajua kwanini nakwambia hivi kipindi cha mwanzo zilivyokuwa shortlisted wale wa IT zilibaki vile vile selected lakini asaivi hata wa IT zimechange
Hapana mkuu mie ilichangeUnajua kwanini nakwambia hivi kipindi cha mwanzo zilivyokuwa shortlisted wale wa IT zilibaki vile vile selected lakini asaivi hata wa IT zimechange
😂😂😂😂basi tumekandwa woteHapana mkuu mie ilichange
Pdf ndo msema kweli😂😂😂😂basi tumekandwa wote
Achana na status subiri pdf download uenjoy😂😂😂😂basi tumekandwa wote
Kabisa,zile status pale hazina uhusiano wowote na placementPdf ndo msema kweli
😂😂😂😂Hamtaki kuamini status zenu au sioKabisa,zile status pale hazina uhusiano wowote na placement
Mi nadhani psrs wakishamalizana na wewe kwenye usaili hawadeal Tena status yako kule hizo ni changes tu zinachezeshwa na mfumoAchana na status subiri pdf download uenjoy
Kabisa ndo ipo hivyoMi nadhani psrs wakishamalizana na wewe kwenye usaili hawadeal Tena status yako kule hizo ni changes tu zinachezeshwa na mfumo
Mfumo hauko stable ndo maana unakela mabdiliko mara kwa maraKabisa ndo ipo hivyo