Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana Mwifwa kwakunipendekeza kwenye nafasi naahidi nitaifanya kwa utiifu na mwamvuli nitamshikia Prok asipigwe na jua
Halafu utahakikisha suti yake haikanyagwi na nzi yaani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huu utakuwa uchawa sasa [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uchawa unaweka watu mjini, una thamani na hadhi yake kabisa
 
Mlandizi now yes
Unaweza kunipita hapa njiani, usisahau kunipungia hata mkono basi kama ishara ya kutambua juhudi zangu za kukusaka jana bila mafanikio huku nikiishia kuona suti tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Njoo nikuuzie saa ya mkononi ya kwenda kufatia barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina mpango wa kununua au kuvaa saa aisee.

Nilivaa nilipokuwa shule tu, kwa ajili ya kutunza muda kwenye ratiba za shule na ratiba zangu binafsi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nzi akitua kwenye suti namuuliza boss pole hujaumia?hahhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Njoo nikuuzie saa ya mkononi ya kwenda kufatia barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenipita hapa Picha ya Ndege muda huu, nimechungulia nione kama utanipungia nimeambulia patupu[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom