Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Ile ilitoka tarehe 25 October ambayo ni jumanneMbona ya Muce imetoka jana?ππππππit just a myth tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ilitoka tarehe 25 October ambayo ni jumanneMbona ya Muce imetoka jana?ππππππit just a myth tu
Jana waliweka tu kama kumbukumbu zaoMbona ya Muce imetoka jana?ππππππit just a myth tu
Kanuni za ufaulu;Umeshapata mzee mpaka hapo
AiseeMkuu nadhani kuna Kanuni
Kanuni za ufaulu;
Iwapo wasaili watafungana alama basi mlemavu atapewa nafasi, iwapo hakuna mlemavu basi mwanamke atapewa nafasi, endapo wote ni jinsia moja mfano wote ni mabeberu basi mwenye umri mkubwa atapewa nafasi.
πππππKwahiyo Kumbe jumanne ni uhakika hahhhhIle ilitoka tarehe 25 October ambayo ni jumanne
ππππKumbe tena Kuna mambo ya jinsia na umri aseeeh tutafika tumechoka sanaMkuu nadhani kuna Kanuni
Kanuni za ufaulu;
Iwapo wasaili watafungana alama basi mlemavu atapewa nafasi, iwapo hakuna mlemavu basi mwanamke atapewa nafasi, endapo wote ni jinsia moja mfano wote ni mabeberu basi mwenye umri mkubwa atapewa nafasi.
πππππHuamini macho yako hahhhAisee
Picha la kutisha kakaπ€£π€£πππππHuamini macho yako hahhh
ππππPale ambapo ulipiga oral na mlemavu mmoja na videmu viwili afu vilikuwa vinaongea kiingereza hata kabla mpo nje lazima kichwa kipate motoPicha la kutisha kakaπ€£π€£
Umri sidhani mkuu, maana naonaga utumishi wanatabia ya kuchukua fresh graduates from chuo na ni wadogo tu.Mkuu nadhani kuna Kanuni
Kanuni za ufaulu;
Iwapo wasaili watafungana alama basi mlemavu atapewa nafasi, iwapo hakuna mlemavu basi mwanamke atapewa nafasi, endapo wote ni jinsia moja mfano wote ni mabeberu basi mwenye umri mkubwa atapewa nafasi.
Ukiona hivyo wamefaulu vizuri Zaid ya wenye umri Mkubwa mkuuUmri sidhani mkuu, maana naonaga utumishi wanatabia ya kuchukua fresh graduates from chuo na ni wadogo tu.
Umri ni kigezo pia, kasome vizuri zile sheria zaoUmri sidhani mkuu, maana naonaga utumishi wanatabia ya kuchukua fresh graduates from chuo na ni wadogo tu.
Ipo mzee kwenye muongozo wao...ikiwa wasailiwa wa 2 watfungana marks na wana jinsia 1 mwenye umri mkubwa atachukuliwaUmri sidhani mkuu, maana naonaga utumishi wanatabia ya kuchukua fresh graduates from chuo na ni wadogo tu.
Anhaa hapo nimewapata.Ukiona hivyo wamefaulu vizuri Zaid ya wenye umri Mkubwa mkuu
Kwani hizo walikuwa bado hawajaitwa kazini?Mkeka wa kazi unakuja soon post hizo wamereadtise kabla ya kutoa plecement means watu wamekndwa hizo post π€£π€£
Badoo hizo Mwalim nyerere CBE wote hao badoKwani hizo walikuwa bado hawajaitwa kazini?
Lbda kama wamepigiwa sm kimy kimyaBadoo hizo Mwalim nyerere CBE wote hao bado
Watakuwa wamepigiwa mzee wasingetangaza kabla hawajaita watu kaziniMaana hizi mambo z kupgiana smu kimy kimya naona zinaasha kushika kasi