Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Katika usaili wa kuandika au vitendo, mtu mwenye
ulemavu atakayekuwa amefikisha alama za kuanzia za ufaulu
kama zilivyofafanuliwa katika Kanuni .

Hii nimeliona lakini halijawa hivi kama unavyosema. Cut off mbona ilimchapa mtu wenye sifa hizi ingawa alikuwa na zaidi ya 50 kwenye written na cut off ilikuwa hapo hapo 50+
 
Written yangu ya kwanza tulikutana na watu 3 ambao wanajitolea kwa mwajiri aliyetangaza hizo nafasi.

Mmoja ambaye namjua(wengine nilikuwa siwafahamu ila niliambiwa na watu waliokuwa wanawafahamu) huwa ananihudumia pindi nikiwa na shida katika ofisi hiyo.

Kuja siku alikataa nyaraka zangu kisa nimetoa kopi kwenye kopi yenye muhuri wa wakili, nilimind ila hakunisikiliza/hakunielewa/hakukibali.

Kuna mfanyakazi mwingine nilikuwa nishajuaana naye(kwa sura ila sio majina na nilizoeana naye), nikaenda kumueleza jinsi nyaraka zangu zilivyokataliwa, baada ya kunisikiliza akakubali na kuzipokea.

Huyu aliyezikataa nilidhani ni muajiriwa pale.

Siku ya written nilipotinga pale CIVE tukiwa tumekaa nje kusubiri utaratibu, nikamuona akaja nikadhani amekuja kusimamia mtihani(sikujua kama PSRS ndio jukumu lao hilo), wakati tunaendelea kusubiri ndipo nikagundua na yeye amekuja kwenye usahili.

Tulipiga written, tukakandwa wote(mimi na yeye), ndipo nikaamini kujitolea hiyo sio tiketi ya kufaulu UTUMISHI.
Ndoige imemkuta na yeye🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom