Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ili baadae wasije wakaanza kulaumu bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeamua kuwambia ukweli au sio
Mimi pia ya juzi, wadada walikuwa 2, midume 3. Kazi ipo[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili baadae wasije wakaanza kulaumu bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeamua kuwambia ukweli au sio
😂😂😂😂Hahhhh Kuna wakati unapiga oral huku unaliaIli baadae wasije wakaanza kulaumu bure.
Mimi pia ya juzi, wadada walikuwa 2, midume 3. Kazi ipo[emoji3]
Hao madem watachukua kaz mzee 🤣🤣Status inipe mawazo mpka nitake kuchanganyikiwa sasa ni walemav na wanawake duh jobless anateseka sana
😂😂😂😂Kwanini unamwambia ukweli hahhhhHao madem watachukua kaz mzee 🤣🤣
AmenOmba Mungu wadada wasitumie mbinu zaidi na zaidi kukuovertake
Nafasi 6 kakaMlikuwa mnapambania nafasi ngapi?
Wizy unafurahishaga sana na hili song lako la baba jeniKwahiyo selected for oral baba jeni bye bye[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema 6 ni nyingi sana huwezi kukosa mzeeNafasi 6 kaka
Nafasi 6 kaka
😂😂😂😂😂Maisha ndo haya haya mzee nawambia jobless wenzangu hapa baba jeni bye bye hahhhh na mwendo wameumalizaWizy unafurahishaga sana na hili song lako la baba jeni
Anatutisha huyu jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ndo haya haya mzee nawambia jobless wenzangu hapa baba jeni bye bye hahhhh na mwendo wameumaliza
😂😂😂😂Hahhhh utumishi wamenikanda sana aseeh asaivi nimewazoea tuAnatutisha huyu jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati mbaya nayeye anakandwa vilevile [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari mzeee🤣🤣🤣Nyie wanaume mnapambania nafasi 1 hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa🤣Kaanza kusaka utelezi enzi na enzi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Siku hiyo tumetoka Kukandwa pale udom afu matokeoa wakatoa saa saba za usiku nilitukania usiku mzima asubuhi nikapandq shabiby kinyonge sanaHadi wamekukariri sura pamoja na ndugu yako Mwifwa [emoji23]
😂😂😂😂Hapo hiyo ni yakoHatari mzeee🤣🤣🤣
Wadada wameanza kuwa tishio Sasa kwenye mikando yetu🤣🤣Ili baadae wasije wakaanza kulaumu bure.
Mimi pia ya juzi, wadada walikuwa 2, midume 3. Kazi ipo[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] utumishi hawana mchezo hata uwatukane laana haziwapati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hiyo tumetoka Kukandwa pale udom afu matokeoa wakatoa saa saba za usiku nilitukania usiku mzima asubuhi nikapandq shabiby kinyonge sana
😂😂😂😂aseeh kweli mbona kama wamekuwa wengi sasaWadada wameanza kuwa tishio Sasa kwenye mikando yetu🤣🤣
😂😂😂😂Hahhhh[emoji23][emoji23][emoji23] utumishi hawana mchezo hata uwatukane laana haziwapati